Kwanini tupo tayari kuchukulia poa Mahusiano ya Girfriend na Boyfriend ila tunapuuza kwamba ni uzinzi?

Kwanini tupo tayari kuchukulia poa Mahusiano ya Girfriend na Boyfriend ila tunapuuza kwamba ni uzinzi?

Kuwa na girlfriend au boyfriend sio dhambi kama Mtaishi katika misingi ya dini yenu inayowaongoza ,manake Kuna watu ni boyfriend's na girlfriend na hawazini mpaka wanafikia hatua ya uchumba mpaka ndoa

Ila mkianza kutiana kabla ya ndoa kwenye huo girlfriend hapo mnakuwa mnatenda dhambi na Wala kosa haliwi kwenye kuwa girlfriend/boyfriend manake Kuna watu wanatiana na hata sio wachumba,wameoana au kuwa kwenye ugirlfriend
Uko sahihi
Lengo la uboy friend na girlfriend
Ni kutambuana tabia na kujengana kwaajili ya ndoa badae
Sema vijana wa sikuhizi wanakiuka
Wanaanza kuzagamuana
 
Hakuna kitu kama hiko huo ni uzinzi kama uzinzi na uasherati mwingine. Biblia haijafundisha hivyo na hilo suala limekaa katika utamaduni wa Kizungu na sio kila utamaduni wa kizungu ni Ukristo kwani uzungu na Ukristo ni vitu viwili tofauti.

Biblia hatujafundishwa mila na tamaduni za kiyahudi tumefundishwa kuishi kwa kumjua Mungu wa Kweli na Yesu Kristo aliyemtuma na huo ndio uzima wa milele.

Dini yoyote ni lazima ilete utu, ustaarabu na kubadilisha watu katika kuishi maisha ya kumjua Mungu thus why tumejengwa katika upendo.
 
Wenzenu walishatoka huko kwenye hivyo vitabu!,hivyo vitabu it's only brainwashing machine!.
akina nani waliishatoka kwenye hivyo vitabu!!
wao ndio watu ambao mtoto wa miaka 6 anamtambulisha kwa wazazi boyfriend wake,na hawafanyi upuuzi mpaka muda ufike.
Fikiria ukae na upwiru wako toka umebalehe kisa unamsubiri wakuja kuolewanae!, what if asipopatikana.
upwiru ni mtazamo tu,kwani wewe siku umebalehe tu ulipewa K??wengi tumebalehe miaka 17 ila mwanamke tumekuja kumjua miaka 21-22.
nje ya kucheza cheza utotoni.
Uhalisia wa maisha haupo hivyo na ndio maana watu wanatumbukia kufanya tu then anajidanganya anatubu kesho Tena upwiru ukimkamata anafanya...
uhalisia ni upi??kunyanduana mpaja wanaume kwa wanaume kwa kuwa miili yetu inatuagiza hivyo au kusimamia miiko na maadili ya kijamii na kidini!!!
Ni ngumu kushindana na mwili wako mwenyewe ukiamua kukupeleka unakupeleka tu.. the same God who says "Usizini" it's the same God who made you with upwiru!...
Yes na alijua kuna wapuuzi ngono watafanya ni hitaji la kwanza la muhimu la maisha,wakati haina umuhimu huo.
And also it's the same God who made a devil!,not only that it's the one who will dump you in fire for your sins!.
Yes,zini mpaka kidudu kirudi ndani.ila ujue kabisa hakuna faida yoyote zaidi ya kujiingiza kwenye adhabu kwa uchaguzi wako mwenyewe.
This is very crazily movie...๐Ÿ˜…
the movie that starts with funny but ends thrilling staffs,like squid game.
 
๐Ÿฅน ๐Ÿฅน dah kwa kweli, ila ngoni mbali
naomba usiku mchana Mungu aondoe UTI na wenzake wooote
na mimi niwe nachangia kule kula kimasihara
Kumbe nia yako kula kimasikhara sio kuoa๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚...ila ngoni mbona sio mbali huku,, ningekupa cousin wangu hapo mtwara sema mmezidi kutusema sana wamakonde๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ
 
Na kama mjuavyo ukristo vitu vingi hufuata vya wazungu, Siku hizi imekuwa ni kawaida sana wazazi kujua kijana wao ana boyfriend ama girlfriend na wazazi hawana shida.

Hapo wazazi wanajua kabisa kwamba vijana wanasex ila wanaona ni sawa tu, na hii imepelekea wazazi wawe wanawapa vijana sex edication kuwaasa watumie mipira (condom), ila muda huo huo wanawahamasisha wawe wanaenda kanisani.

Hali hii huwa inaendelea hadi mtu anafika miaka 33 hajaoa, kazoea zaidi mahusiano ya ma Girlfriend na ma Boyfriend.

Ni sawa kupuuza?
Ukiwa na tabia ya kuchunguza maisha ya watu always kila jambo linalofanywa na binadamu utaona wanakosea .

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi
Lengo la uboy friend na girlfriend
Ni kutambuana tabia na kujengana kwaajili ya ndoa badae
Sema vijana wa sikuhizi wanakiuka
Wanaanza kuzagamuana
Nakumbuka zamani haya makanisa ya walokole walikua wanawacheka wakatoliki na waanglikana eti kwanini wanafungisha ndoa kwa watu ambao tayari wameshazaa kwamba eti ni uzinzi lakini sikuhizi cha kushangaza sikuhizi makanisa ya walokole na wao wanafungisha ndoa mwanamke ana mimba ๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€๐Ÿ˜€yaani imekua kawaida tu
 
Back
Top Bottom