bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Ntakubondaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]Nini
😂 Vimbaumbau bhanaNtakubondaaa!! [emoji23][emoji23][emoji23]
Hauna ushahidi.Mambo ya uzinzi ni mapokeo toka Mashariki ya kati. Hayakuwepo miongoni mwa jamii za Kiafrika
Iliwekwa kwa faida yako wewe na Sio Mungu Hana hasara.Karne ya 21 kuna Mtu ana amini eti kufanya sex ni dhambi. Aisee utoto raha nyie yani unaweza kuamini chochote vyovyote
Mtu akiamini katika Dini lazima aamini ngono kinyume na ndoa ni dhambi na huo ndio uhalisia ,hata kikawaida wewe mwanao wa Kike hautofurahia kusikia anadinywa na Maghayo daily bila ndoa matokeo yake hupelekea hata mimba na mchizi kumkimbia mtoto jambo ambalo huleta athari mbaya nyingi.Karne ya 21 kuna Mtu ana amini eti kufanya sex ni dhambi. Aisee utoto raha nyie yani unaweza kuamini chochote vyovyote
Huu ni ukweli wa haki.Suluhisho ni uislam tu........uislam unasema mtu inabidi aoe na kuolewa punde tu anapobalehe,haya matatizo uliyoyasema huwezi kuyaona kwa watu wanaofuata uislam sahihi
Yani nyinyi kwa mila za kiarabuHuu ni ukweli wa haki.
Wacha banaIliwekwa kwa faida yako wewe na Sio Mungu Hana hasara.
Ngono uleta magonjwa ya kiroho na kimwili.
Ingekuwa Mila za mwarabu basi Waarabu wangekubali moja kwa moja bila shaka lakini ulikuwa mtiti mpaka kuukubali moja kwa moja .Yani nyinyi kwa mila za kiarabu
Tatizo lenu mnayachukuliaga maisha serious sana wakati hapa duniani mpo stendi mnasubiri gari la kuwapeleka kwenu.Mtu akiamini katika Dini lazima aamini ngono kinyume na ndoa ni dhambi na huo ndio uhalisia ,hata kikawaida wewe mwanao wa Kike hautofurahia kusikia anadinywa na Maghayo daily bila ndoa matokeo yake hupelekea hata mimba na mchizi kumkimbia mtoto jambo ambalo huleta athari mbaya nyingi.
Haki ingefuata matamanio vitu vingi vingeharibika hapa duniani.Tatizo lenu mnayachukuliaga maisha serious sana wakati hapa duniani mpo stendi mnasubiri gari la kuwapeleka kwenu.
Kuleni maisha nyie acheni kujibana bana
We unao?Hauna ushahidi.
Ninachojua ndoa ni moja Kati ya utamaduni zamani sana toka enzi na enzi ushahidi mkubwa kabla sijaenda mbali ni uwepo wa Ndoa za kimila mpaka leo ,mfano WaKurya wamejua dini juzi tu lakini wana namna yao ya kuoana mtu hachukuliwi kihuni tena zamani ilikuwa lazima Binti awe Bikra ndio aolewe na huo ndio ulikuwa utaratibu katika jamii nyingi.We unao?
Haki ingefuata matamanio vitu vingi vingeharibika hapa duniani.
Ngoja na mimi nitunge sheria zangu za matamanio hakuna kujibana wala kupangiana.
1.Mtoto akiwa wako unahaki ya kumfanya chochote kama vile kumuua ,kufanya nae zinaa nk ,ni kama vile ambavyo Kuku wangu ninayemmiliki nina haki ya kumchinja muda wowote ninaotaka .
2.Hata ndugu wa familia naweza kuishi nae kama mke na Mume , kivipi uzuie wakati hilo linawekana na hakuna kujibana ?
3.Nikiwa Raisi mtu yeyote ,muda wowote wakati wowote ataruhusiwa kuvuta pombe ,bangi ,sugara ,Shisha na madawa ya kulevya #HakunaKujibana
Kuzini kupo na makosa yapo kama binadamu hawezi kuwa sawa muda wote ,hata aliyeweka sheria anajua fika watakaopatia ,wataokosea ,Kati na Kati na wengine watavuka mipaka kabisa ndio maana kukawekwa milango ya toba nk.Kama kawaida yenu. Umeanza vitisho