Kwanini tupo tayari kuchukulia poa Mahusiano ya Girfriend na Boyfriend ila tunapuuza kwamba ni uzinzi?

Kwanini tupo tayari kuchukulia poa Mahusiano ya Girfriend na Boyfriend ila tunapuuza kwamba ni uzinzi?

We kwa nini mzazi asifurahi baada ya kuona mwanae ana mahusiano sahihi?

Hapo mzazi anafurahi kujua mwanae siyo shoga wala msagaji [emoji91][emoji91][emoji91]
 
Karne ya 21 kuna Mtu ana amini eti kufanya sex ni dhambi. Aisee utoto raha nyie yani unaweza kuamini chochote vyovyote
 
Huwezi ukanogewa na utamu wa ngono kisha ukaambiwa mapungufu ya mwenza wako ukaelewa.
Ni makosa sana kuoana kwa mnaso wa ngono badala ya akili
Ukipata ngono kirahisi kupitia ndoa inakuwa haina Tena thamani.
Ndo maan ya no sex before marriage
 
Karne ya 21 kuna Mtu ana amini eti kufanya sex ni dhambi. Aisee utoto raha nyie yani unaweza kuamini chochote vyovyote
Mtu akiamini katika Dini lazima aamini ngono kinyume na ndoa ni dhambi na huo ndio uhalisia ,hata kikawaida wewe mwanao wa Kike hautofurahia kusikia anadinywa na Maghayo daily bila ndoa matokeo yake hupelekea hata mimba na mchizi kumkimbia mtoto jambo ambalo huleta athari mbaya nyingi.
 
Suluhisho ni uislam tu........uislam unasema mtu inabidi aoe na kuolewa punde tu anapobalehe,haya matatizo uliyoyasema huwezi kuyaona kwa watu wanaofuata uislam sahihi
Huu ni ukweli wa haki.
 
Yani nyinyi kwa mila za kiarabu
Ingekuwa Mila za mwarabu basi Waarabu wangekubali moja kwa moja bila shaka lakini ulikuwa mtiti mpaka kuukubali moja kwa moja .

Soma maisha na Mila za Waarabu kabla ya uislamu utagundua utofauti.
 
Mtu akiamini katika Dini lazima aamini ngono kinyume na ndoa ni dhambi na huo ndio uhalisia ,hata kikawaida wewe mwanao wa Kike hautofurahia kusikia anadinywa na Maghayo daily bila ndoa matokeo yake hupelekea hata mimba na mchizi kumkimbia mtoto jambo ambalo huleta athari mbaya nyingi.
Tatizo lenu mnayachukuliaga maisha serious sana wakati hapa duniani mpo stendi mnasubiri gari la kuwapeleka kwenu.

Kuleni maisha nyie acheni kujibana bana
 
Tatizo lenu mnayachukuliaga maisha serious sana wakati hapa duniani mpo stendi mnasubiri gari la kuwapeleka kwenu.

Kuleni maisha nyie acheni kujibana bana
Haki ingefuata matamanio vitu vingi vingeharibika hapa duniani.

Ngoja na mimi nitunge sheria zangu za matamanio hakuna kujibana wala kupangiana.

1.Mtoto akiwa wako unahaki ya kumfanya chochote kama vile kumuua ,kufanya nae zinaa nk ,ni kama vile ambavyo Kuku wangu ninayemmiliki nina haki ya kumchinja muda wowote ninaotaka .

2.Hata ndugu wa familia naweza kuishi nae kama mke na Mume , kivipi uzuie wakati hilo linawekana na hakuna kujibana ?

3.Nikiwa Raisi mtu yeyote ,muda wowote wakati wowote ataruhusiwa kuvuta pombe ,bangi ,sugara ,Shisha na madawa ya kulevya #HakunaKujibana
 
Ninachojua ndoa ni moja Kati ya utamaduni zamani sana toka enzi na enzi ushahidi mkubwa kabla sijaenda mbali ni uwepo wa Ndoa za kimila mpaka leo ,mfano WaKurya wamejua dini juzi tu lakini wana namna yao ya kuoana mtu hachukuliwi kihuni tena zamani ilikuwa lazima Binti awe Bikra ndio aolewe na huo ndio ulikuwa utaratibu katika jamii nyingi.
 
Kama kawaida yenu. Umeanza vitisho
Haki ingefuata matamanio vitu vingi vingeharibika hapa duniani.

Ngoja na mimi nitunge sheria zangu za matamanio hakuna kujibana wala kupangiana.

1.Mtoto akiwa wako unahaki ya kumfanya chochote kama vile kumuua ,kufanya nae zinaa nk ,ni kama vile ambavyo Kuku wangu ninayemmiliki nina haki ya kumchinja muda wowote ninaotaka .

2.Hata ndugu wa familia naweza kuishi nae kama mke na Mume , kivipi uzuie wakati hilo linawekana na hakuna kujibana ?

3.Nikiwa Raisi mtu yeyote ,muda wowote wakati wowote ataruhusiwa kuvuta pombe ,bangi ,sugara ,Shisha na madawa ya kulevya #HakunaKujibana
 
Kama kawaida yenu. Umeanza vitisho
Kuzini kupo na makosa yapo kama binadamu hawezi kuwa sawa muda wote ,hata aliyeweka sheria anajua fika watakaopatia ,wataokosea ,Kati na Kati na wengine watavuka mipaka kabisa ndio maana kukawekwa milango ya toba nk.

Kosa kubwa zaidi ya kufanya kosa lenyewe ni kudharau sheria na dhambi kuona si chochote kama wewe unavyodai hadharani kuwa Karne hii 21 ni utoto au ujinga flani kuamini kama jambo hilo ni dhambi ,hiko ni kibri bora anayefanya dhambi kuamini amekosea ila upwiru na Shetani kamchochea hana la kufanya na akiamini ipo siku atakuwa mtu mwema kuliko yule anayejiona mwamba na ana akili zaidi kuliko alitoa amri hiyo ubaya zaidi ya ubaya ni kutangaza hadharani kupandikiza fikra hizo kwa watu wengi zaidi.

Mfano wako ni mwalimu katoa homework akijua kutakuwa na wazembe kutokana na sababu mbalimbali na wengine watatekeleza kwenye mahojiano sasa ;

Mzembe no 1 akasema "mimi nilisihau na uvivu ukanishika hatimaye nipo kundi hili"

Mzembe no 2 "Mimi naona utoto kufanya kazi uliyotoa na sioni umuhimu na mantiki ya mimi kufanya "

Hapo mzembe no 2 yupo katika hali mbaya sana ya kupata adhabu kali bila msamaha kutokana na Kibri ,hakuna kitu kiovu kama Kibri.
 
Shida hapa mnajadili mambo ya kiroho kwa jinsi ya mwili. Ni lazima lugha iwe gongano...
 
Back
Top Bottom