simba tupo wengi
Senior Member
- Dec 23, 2019
- 154
- 132
Point ya msingi hiiNi aibu kweli, kwa Taifa lenye kujitambua kuyapa Makampuni binafsi power ya kukusanya Fingerprints za watu wake!
Yaani Taifa zima linakuwa mikononi mwa makampuni binafsi!
Ni aibu na hatari kubwa mno kiusalama!
Imagine Voda iwe na Fingerprints za wanajeshi, majenerali wa kijeshi, mapolisi, majaji, makatibu wakuu, maprofesa etc
Who knows what will happen kesho kwa data hizi kuwa kwenye database za makampuniya nje binafsi?
Ni changamoto
Sijui taifa tumejipanga vipi juu ya udhibiti.Jamaa wana fingerprints hadi za Amiri Jeshi Mkuu ... sijui ingekuaje na sisi tungekua na NUCLEAR FOOTBALL
Swali zuriUkiwa na Fingerprints za Amiri jeshi mkuu maana yake, systems zote zinazohitaji fingerprints za Amiri jeshi mkuu au majenerali wake unaweza kuzioperate bila wao kuhusika!
Kiufupi hili zoezi la fingerprints kuchukuliwa na kampuni binafsi za nje siyo la Afya kwa nchi.
Kitu kingine, kama NIDA ina fingerprints za watu then unahitaji Voda au Tigo wawe na Fingerprints za watu wako kwa kazi gani?
Ni aibu kweli, kwa Taifa lenye kujitambua kuyapa Makampuni binafsi power ya kukusanya Fingerprints za watu wake!
Yaani Taifa zima linakuwa mikononi mwa makampuni binafsi!
Ni aibu na hatari kubwa mno kiusalama!
Imagine Voda iwe na Fingerprints za wanajeshi, majenerali wa kijeshi, mapolisi, majaji, makatibu wakuu, maprofesa etc
Who knows what will happen kesho kwa data hizi kuwa kwenye database za makampuniya nje binafsi?
Ukiwa na Fingerprints za Amiri jeshi mkuu maana yake, systems zote zinazohitaji fingerprints za Amiri jeshi mkuu au majenerali wake unaweza kuzioperate bila wao kuhusika!
Kiufupi hili zoezi la fingerprints kuchukuliwa na kampuni binafsi za nje siyo la Afya kwa nchi.
Kitu kingine, kama NIDA ina fingerprints za watu then unahitaji Voda au Tigo wawe na Fingerprints za watu wako kwa kazi gani?
Bado ni mapema' tunaweza kuboresha kama hatukujipanga.
Ninavyodhani mm, zoezi la kusajili line limekuja kama njia ya kushinikiza watu kujisajili kwa ajili ya vitambulisho vya NIDA.Hili zoezi inaelekea ni kama ule mradi wa korosho. Tunatafuta matatizo ambayo hayapo.
Zoezi la vitambulisho halijamalizika vizuri tuna dakia alama za vidole kwa uoga wetu wa kisiasa.
Kwanza ukiangalia vizuri hakuna cha kupata kwenye hili, pili ni gharama sana kwa kampuni za simu wakati wanasaidia sana kurahisisha maisha ya watu.
Lakini kibaya serikali itapunguza mapato kwenye simu kwa hili zoezi bila kupata chochote.
Kabla ya vitambulisho wenzetu wanavyofanya ni kuhakikisha kila raia ana namba binafsi ambayo ni ya siri na inatumika kila mahali.
Wenzetu mtoto akizaliwa anapewa namba na wageni wanapewa namba, kufungua account yoyote unahitaja hii namba pamoja na vitambulisho.
Namba ya mtu haitakiwi iendane na umri.
Mimi naona kabla ya kudakia simu wangehakikisha watu wote milioni 55 wana namba kwanza.