simba tupo wengi
Senior Member
- Dec 23, 2019
- 154
- 132
Kama kuna uwezekano line na mitandao ya simu kutenganishwa ingekuwa ni vizuri sana.
Yaani anayetoa line na namba awe taasisi moja, halafu kuwe na teknolojia ya kuruhusu mtumiaji kutumia na kuhama kwenye kampuni atakayopenda wakati anapotaka kwa kutumia simu yake.
Yaani line yako uweze iregister na Tigo, Vodacom, Zantel au Airtel wakati unapotaka kwenye simu yako.
Hii ingepunguza mlolongo wa kila kampuni kuwa na fingerprint za raia wetu.