Kwanini tusiige toka kwa nchi zilizofanya mapinduzi?

Liobite

Senior Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
126
Reaction score
37
Habari zenu wakuu,naomba kuuliza kwamba kama nchi za wenzetu kama vile Ufaransa (french revolution),Urusi (october revolution),uingereza (Chartism&luddism etc) zilifanya mapinduzi kutokana na maonevu,dhuluma na watu kukosa mahitaji muhimu ya maisha kutokana udhaifu wa viongozi waliokuwepo madarakani,Sasa je kwanini sisi Tz tusiungane kufanya mapinduzi hayo? Nimeuliza hivi kwa sababu maonevu yamezidi mf;HESLB kutunyima mkopo na Naibu waziri wa elimu kusema tukauze mayai,kauli hii ninaifananisha na kauli ya mke wa mfalme wa russia alipowajibu waandamanaji kwa ajili ya kupanda kwa bei ya mkate (BLOOD SUNDAY)kauli ilisema hivi "IF YOU FAIL TO BUY A BREAD GO AND BUY A CAKE"Ufaransa king Louis xvi na mke wake walinyongwa kutokana matumizi mabaya ya pesa kama vile mke wake MARIE ATTOINENTE alikuwa ananunua TWO PAIRS OF SHOES EACH WEEK,Pia kodi zisizo za lazima kwa kule ilikuwa 'salt tax'head tax'nk mifano hii yote huku Tz ipo kuna kodi mbalimbali tunatozwa leo kuna kodi ya LAIN ZA SIM;Kodi hiz zinafanya nn?TUAMKE
 
unaloongea ni sawa ata zanzibar ndugu zetu walifanya mapinduzi chini ya commander john okello na utawala wa kisultani ukaanguka 1964, lakini zama zinabadilika ndugu yangu iyo revolution ya france 1789 ni miaka mingi sn imepita, majembe kama, john okello, Eduardo mondlane, menelic wa Ethiopia, kwame Nkrumah, Julius nyerere, obafemi awolowo nk, sasa ivi hakuna wanaharakati wenye morale ya kimapinduzi kama hao hakuna, wanaharakati wa sasa ivi wanapigania maslahi yao na familia zao basi.
 
Kwenye hiyo list ya majembe futa kabisa huyu nyerere....
 
na kweli futa nyerere nae amechangia sana kuleta taswira mbovu inayotunyonya Raia wa kawaida hakujenga misingi bora ya kiutawala ndio 7b xaxa kuna viongoz na watendaj wanazani Nchi hii n mal yao
 
Habari zenu wakuu,naomba kuuliza kwamba kama nchi za wenzetu kama vile Ufaransa (french revolution),Urusi (october revolution),uingereza (Chartism&luddism etc) zilifanya mapinduzi kutokana na maonevu,dhuluma na watu kukosa mahitaji muhimu ya maisha kutokana udhaifu wa viongozi waliokuwepo madarakani,Sasa je kwanini sisi Tz tusiungane kufanya mapinduzi hayo? Nimeuliza hivi kwa sababu maonevu yamezidi mf;HESLB kutunyima mkopo na Naibu waziri wa elimu kusema tukauze mayai,kauli hii ninaifananisha na kauli ya mke wa mfalme wa russia alipowajibu waandamanaji kwa ajili ya kupanda kwa bei ya mkate (BLOOD SUNDAY)kauli ilisema hivi "IF YOU FAIL TO BUY A BREAD GO AND BUY A CAKE"Ufaransa king Louis xvi na mke wake walinyongwa kutokana matumizi mabaya ya pesa kama vile mke wake MARIE ATTOINENTE alikuwa ananunua TWO PAIRS OF SHOES EACH WEEK,Pia kodi zisizo za lazima kwa kule ilikuwa 'salt tax'head tax'nk mifano hii yote huku Tz ipo kuna kodi mbalimbali tunatozwa leo kuna kodi ya LAIN ZA SIM;Kodi hiz zinafanya nn?TUAMKE

Mkuu ndiko 2nakoelekea japo itachukua muda
 
Vijana wengi hua tunaongea sana ila ikifika wakati wa uchaguzi tunawaachia akina mama na wazee wakapige kura. Tuanze na hili la njia ya amani. Likishindikana lets take a sword in the battle field.

I swear!! Vijana tukiamua tunaweza.

Shida ni kwamba hao vijana wanaotaka mabadiliko wanaweka matumbo mbele na kuacha uzalendo.!

Wangapi walikua wanaharakati wazuri ila baada yakupozwa na vijisenti wametulia?

Sasa suala la mkopo halitakiwi kuvaliwa njuga na waliokosa pekee maana nguvu yao ni ndogo. Ilitakiwa hata wale waliopata waungane na wenzao kutetea haki ambayo itafaidisha vizazi vyote!!

Kwenye matatizo hua tunajitenga na kuamini kila tatizo linatatuliwa na mhusika.

TO BORN POOR IS NOT YOUR MISTAKE.

YOUR MISTAKE IS TO DIE POOR
 
Kaka kalipeni;Tatizo kumbe ni kuwa tunawanaharakati feki?Wanajifanya wanaharakati baadaye wakipewa vijisenti vya chai tu wanatulia,duu!TUTACHELEWA SANA KUPATA MAENDELEO NA HAKI ZETU kama ndio iko hivi!
 
Vijana wengi hua tunaongea sana ila ikifika wakati wa uchaguzi tunawaachia akina mama na wazee wakapige kura. Tuanze na hili la njia ya amani. Likishindikana lets take a sword in the battle field.

I swear!! Vijana tukiamua tunaweza.

Shida ni kwamba hao vijana wanaotaka mabadiliko wanaweka matumbo mbele na kuacha uzalendo.!

Wangapi walikua wanaharakati wazuri ila baada yakupozwa na vijisenti wametulia?

Sasa suala la mkopo halitakiwi kuvaliwa njuga na waliokosa pekee maana nguvu yao ni ndogo. Ilitakiwa hata wale waliopata waungane na wenzao kutetea haki ambayo itafaidisha vizazi vyote!!

TO BORN POOR IS NOT YOUR MISTAKE.

YOUR MISTAKE IS TO DIE POOR

Nyerere nanukuu;TATIZO LA PANYA KUKAMATWA NA PAKA LINGEKWISHA ENDAPO TU PAKA ATAFUNGWA KENGELE,ILA TATIZO NI KUMPATA PANYA ATAKAYEMFUNGA PAKA KENGELE;....PANYA WATAKUWA WAJINGA SANA WAKIKAA KUSUBIRI PAKA WAFUNGANE KENGELE,Kwahiyo umoja wetu ndio utakaotusaidia kufanyamapinduz
 
Habari zenu wakuu,naomba kuuliza kwamba kama nchi za wenzetu kama vile Ufaransa (french revolution),Urusi (october revolution),uingereza (Chartism&luddism etc) zilifanya mapinduzi kutokana na maonevu,dhuluma na watu kukosa mahitaji muhimu ya maisha kutokana udhaifu wa viongozi waliokuwepo madarakani,Sasa je kwanini sisi Tz tusiungane kufanya mapinduzi hayo? Nimeuliza hivi kwa sababu maonevu yamezidi mf;HESLB kutunyima mkopo na Naibu waziri wa elimu kusema tukauze mayai,kauli hii ninaifananisha na kauli ya mke wa mfalme wa russia alipowajibu waandamanaji kwa ajili ya kupanda kwa bei ya mkate (BLOOD SUNDAY)kauli ilisema hivi "IF YOU FAIL TO BUY A BREAD GO AND BUY A CAKE"Ufaransa king Louis xvi na mke wake walinyongwa kutokana matumizi mabaya ya pesa kama vile mke wake MARIE ATTOINENTE alikuwa ananunua TWO PAIRS OF SHOES EACH WEEK,Pia kodi zisizo za lazima kwa kule ilikuwa 'salt tax'head tax'nk mifano hii yote huku Tz ipo kuna kodi mbalimbali tunatozwa leo kuna kodi ya LAIN ZA SIM;Kodi hiz zinafanya nn?TUAMKE

Daaah!umenikumbusha mbali mkuu,but big up!
 
Back
Top Bottom