Kwanini tusimtumie Bongo Zozo kutangaza utalii wa Tanzania?

Bongozozo anaweza kua ni maarufu Bongo tu,kutangaza jambo kwa kutumia individual kwanza inapimwa kwa huyo muhusika umaarufu wake worldwide na nidhamu yake.
 
Asante mkuu, bongo hovyo sana yaani watu au vituko ndio vinapewa nafasi kitaifa.... huyu jamaa kafanya nini cha maana hata kustahili kujadiliwa au yale yale ya kina konki likwidi..?
 
Back
Top Bottom