Hawaandiki hoja hivi. Kwanza ulipaswa uwe na sababu za msingi za kupunguza na sio kusema miaka 4 mingi sana. Halafu unatakiwa kuwa na reference ya ubaya wa miaka 5 na uzuri wa miaka 4. Na utuambie ni vipi kipindi cha miaka kinaweza kuwa msaada kwa taifa. Tafiti kwanza ndio ulete hoja