Kwanini tusiwe na maduka ya hadhi nchini ili mawaziri na viongozi wakubwa wasiagize kutoka nje ya nchi?

Biashara zinaendeshwa Kariakoo kwa sasa hazina tofauti na biashara zilizokuwa zinafanyika miaka ya 1990 za ulanguzi.

Soko linazidi kudorora, maduka yenye hadhi yanazidi kupotea na kuzaliwa vibanda vidogo vidogo visivyo kidhi.

Mpangilio wa biashara nao unachangia soko kukosa mvuto huku bidhaa zenye ubora mdogo zikipewa kipaumbele.

Matokeo yake ni kuibuka kwa wafanyabiashara wachache waliopo serious wanaokwenda kwenye masoko nchi jirani kuchukua bidhaa na kuziingiza nchini kinyemela kisha kuziuza kwa bei kubwa kwa wateja serious.

Upotevu huu wa mapato unachangiwa kwa kiasi kikubwa na kodi nyingi, kukosekana kwa viongozi imara na sera mbovu.

Nchi nzima kuna maduka ya nguo za hadhi yasiyozidi kumi na mengi yanamilikiwa na mtu au kampuni moja. Kwanini tusiwasaidie Watanzania kufungua maduka yaliyopo kwenye ulimwengu wa kwanza hapa nchini?

Mawaziri na viongozi wengine wanaolipwa vizuri wanaenda kununua nguo nje. Kwanini badala ya kununua nje, wasitengeneze mazingira ya biashara kama ya nje? Tulitegemea kwa kuwa na bandari, watu wa madaraja yote wangeingia nchini kufanya biashara, ila sivyo. Tumebaki kutukuza vya Uturuki, Dubai na kadhalika.

Tubadili fikra.
Muhimu kula kaka mambo ya nguo baadae,vita havituhusu tununue mafuta direct kutoka Russia kila kitu kitakaa kama unavyotoka wewe
 
Wateja wa kununa nguo moja USD 2500 watapatikana wangapi...
Hii attitude ya uoga wetu ndio inatumiwa na wafanyabiashara kama excuse ya kutuletea nguo midosho,
Nguo original hazifiki huko 2500 dollars japo zipo pia za bei unazotaja .
Ingia nike .com utaona quality t shirts za dri fit ni dola 30 tu, na kuna hadi kununua kwa installment na punguzo kama ukitumia zaidi ya dola 150.
Dola 30 ni elfu 70 , karakoo unapata t shrt 3 quality mbovu ambazo ukivaa mwezi tu zote zinapauka.
 
Naunga mkono mtoa mada yapo maduka yenye kuuza quality bei siyo kubwa sana watu wengi wanaweza kumudu bei zake.

Maduka kaza Zara, Clarks, John Lewis, TK Maxx, next, Sports direct, Boohoo, new look, Office nk bei zake ni za kawaida.

Bei za kawaida zinacheza kuanzia 10,000 hadi laki mbili.
 
Biashara zinaendeshwa Kariakoo kwa sasa hazina tofauti na biashara zilizokuwa zinafanyika miaka ya 1990 za ulanguzi.

Soko linazidi kudorora, maduka yenye hadhi yanazidi kupotea na kuzaliwa vibanda vidogo vidogo visivyo kidhi.

Mpangilio wa biashara nao unachangia soko kukosa mvuto huku bidhaa zenye ubora mdogo zikipewa kipaumbele.

Matokeo yake ni kuibuka kwa wafanyabiashara wachache waliopo serious wanaokwenda kwenye masoko nchi jirani kuchukua bidhaa na kuziingiza nchini kinyemela kisha kuziuza kwa bei kubwa kwa wateja serious.

Upotevu huu wa mapato unachangiwa kwa kiasi kikubwa na kodi nyingi, kukosekana kwa viongozi imara na sera mbovu.

Nchi nzima kuna maduka ya nguo za hadhi yasiyozidi kumi na mengi yanamilikiwa na mtu au kampuni moja. Kwanini tusiwasaidie Watanzania kufungua maduka yaliyopo kwenye ulimwengu wa kwanza hapa nchini?

Mawaziri na viongozi wengine wanaolipwa vizuri wanaenda kununua nguo nje. Kwanini badala ya kununua nje, wasitengeneze mazingira ya biashara kama ya nje? Tulitegemea kwa kuwa na bandari, watu wa madaraja yote wangeingia nchini kufanya biashara, ila sivyo. Tumebaki kutukuza vya Uturuki, Dubai na kadhalika.

Tubadili fikra.
Uko sahihi.

By the way, Differentiation ni muhimu sana kwenye marketing and business in general.
 
Mbona hayo maduka yapo maeneo kama posta, mlimani city na maeneo mengine ya ushuani, sema wewe pangu pakavu huwezi kujua yalipo maana siyo interest yako kuyajua yalipo labda kwa minajili ya kwenda kuosha macho.....maduka yanayouza designer perfume za zaidi ya laki tatu yapo na hata designer cloths, tatizo lako umekariri kwamba bidhaa lazima ziuzwe kariakoo.​
 
Hii attitude ya uoga wetu ndio inatumiwa na wafanyabiashara kama excuse ya kutuletea nguo midosho,
Nguo original hazifiki huko 2500 dollars japo zipo pia za bei unazotaja .
Ingia nike .com utaona quality t shirts za dri fit ni dola 30 tu, na kuna hadi kununua kwa installment na punguzo kama ukitumia zaidi ya dola 150.
Dola 30 ni elfu 70 , karakoo unapata t shrt 3 quality mbovu ambazo ukivaa mwezi tu zote zinapauka.
HIyo USD 30 mpaka USD 70 TRA na mamlaka nyingine, inakuangalia tu ikikuchchekea...

Nje ya mada kidogo, mfano huko nje kuna magari mpaka ya USD 500, ila ukilinunua mpaka lifike hapa ni mara kumi yake...
 
Bado still uchumi hauruhusu. Ingekuwa kima cha chini cha mshahara ni million 5 kwa kila Kada huenda watu wangeweza kuvaa nguo za laki au zaidi. Sasa mshahara wa average guy laki 7 anaanzaje kuvaa nguo za laki 2?
Even in developed countries, asilimia kubwa ya watu wanaenda kwenye maduka ambayo ni nafuu au yanayouza vitu ambavyo ni discounted, sema wenyewe wanathibiti sana ubora huwezi kukuta substandard items hata kama ni bei chini lazima vikidhi vile viwango vyao.

Na hata ukiingia kwenye mall zao utaona tu watu wengi wanaingia maduka gani. Hayo yanayouza vitu vya hadhi ya juu bado utakuta mtu mmoja mmoja tu.
 
Bado still uchumi hauruhusu. Ingekuwa kima cha chini cha mshahara ni million 5 kwa kila Kada huenda watu wangeweza kuvaa nguo za laki au zaidi. Sasa mshahara wa average guy laki 7 anaanzaje kuvaa nguo za laki 2?
Mkuu nilitamani nikupigie hesabu fulani ya jinsi vitu vya bei nafuu quality mbovu vinavyokua very expenxive in long run.
Yes mishahara na vipato ni midogo lakini ukishaanza kununua nguo feki kwa ajili ya bei nafuu , basi jua unaingia gharama zaidi mbele ya safari.
 
Biashara zinaendeshwa Kariakoo kwa sasa hazina tofauti na biashara zilizokuwa zinafanyika miaka ya 1990 za ulanguzi.

Soko linazidi kudorora, maduka yenye hadhi yanazidi kupotea na kuzaliwa vibanda vidogo vidogo visivyo kidhi.

Mpangilio wa biashara nao unachangia soko kukosa mvuto huku bidhaa zenye ubora mdogo zikipewa kipaumbele.

Matokeo yake ni kuibuka kwa wafanyabiashara wachache waliopo serious wanaokwenda kwenye masoko nchi jirani kuchukua bidhaa na kuziingiza nchini kinyemela kisha kuziuza kwa bei kubwa kwa wateja serious.

Upotevu huu wa mapato unachangiwa kwa kiasi kikubwa na kodi nyingi, kukosekana kwa viongozi imara na sera mbovu.

Nchi nzima kuna maduka ya nguo za hadhi yasiyozidi kumi na mengi yanamilikiwa na mtu au kampuni moja. Kwanini tusiwasaidie Watanzania kufungua maduka yaliyopo kwenye ulimwengu wa kwanza hapa nchini?

Mawaziri na viongozi wengine wanaolipwa vizuri wanaenda kununua nguo nje. Kwanini badala ya kununua nje, wasitengeneze mazingira ya biashara kama ya nje? Tulitegemea kwa kuwa na bandari, watu wa madaraja yote wangeingia nchini kufanya biashara, ila sivyo. Tumebaki kutukuza vya Uturuki, Dubai na kadhalika.

Tubadili fikra.
Mkuu tumeambiwa pale ilipokuwa Ubungo bus terminal kunafunguliwa biashara na maduka makubwa maradufu kuliko ilivyokuwa Kariakoo.
Wasiwasi wangu kitamilikiwa na Wachina
 
Biashara zinaendeshwa Kariakoo kwa sasa hazina tofauti na biashara zilizokuwa zinafanyika miaka ya 1990 za ulanguzi.

Soko linazidi kudorora, maduka yenye hadhi yanazidi kupotea na kuzaliwa vibanda vidogo vidogo visivyo kidhi.

Mpangilio wa biashara nao unachangia soko kukosa mvuto huku bidhaa zenye ubora mdogo zikipewa kipaumbele.

Matokeo yake ni kuibuka kwa wafanyabiashara wachache waliopo serious wanaokwenda kwenye masoko nchi jirani kuchukua bidhaa na kuziingiza nchini kinyemela kisha kuziuza kwa bei kubwa kwa wateja serious.

Upotevu huu wa mapato unachangiwa kwa kiasi kikubwa na kodi nyingi, kukosekana kwa viongozi imara na sera mbovu.

Nchi nzima kuna maduka ya nguo za hadhi yasiyozidi kumi na mengi yanamilikiwa na mtu au kampuni moja. Kwanini tusiwasaidie Watanzania kufungua maduka yaliyopo kwenye ulimwengu wa kwanza hapa nchini?

Mawaziri na viongozi wengine wanaolipwa vizuri wanaenda kununua nguo nje. Kwanini badala ya kununua nje, wasitengeneze mazingira ya biashara kama ya nje? Tulitegemea kwa kuwa na bandari, watu wa madaraja yote wangeingia nchini kufanya biashara, ila sivyo. Tumebaki kutukuza vya Uturuki, Dubai na kadhalika.

Tubadili fikra.
Mambo ni mengi hii nchi yanahitaji marekebisho, hata huu unga mchele tuachane na utaratibu wa kupima ipewe kampuni kazi ya kupaki na watu wapate kazi hapo...tutaondokana na hii hali ya kutia mawe kwenye mchele na unga kujipakia kiholela, ukinunuwa 10kg kabla haujaisha tayari unaoza.
 
HIyo USD 30 mpaka USD 70 TRA na mamlaka nyingine, inakuangalia tu ikikuchchekea...

Nje ya mada kidogo, mfano huko nje kuna magari mpaka ya USD 500, ila ukilinunua mpaka lifike hapa ni mara kumi yake...
30 Usd ni wastani wa shilingi 69,000 hata ukilipa kodi kama kitu ni genuine haiumi sana
 
Uko sahihi, lakini nani anayejali? Hata Magufuli na kelele zake zote za kuwachukia mabeberu, hakufufua kiwanda hata kimoja cha nguo. Lakini pamba tunalima. Alivaa suti za mabeberu.
Achana na marehemu,kupambana nae haitaongeza kipato chako hanithi mkubwa wewe
 
Wanagonga copy kisha unabamizwa bei eti pochi 45,000 ndio orijino.

Nenda kwa Louis Vuitton website angalia uone balaa lake kwenye Bei.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Wallet yake tu..kuinunua kipengele....

Woolworth hao hapo...
Mtu hadi asubirie Sale[emoji1]
 
Ukipita nje ya lile duka mbali na wazungu kuna mbongo ushawahi kumuona anaingia mle [emoji1787][emoji1787][emoji1787] zaidi na zaidi wanajazanaga little more kwenye bidhaa za 2,500-30,000
[emoji2][emoji2][emoji2]Wabongo wapo wanaoingia bhana....
 
Wanunuzi wenyewe kipato kidogo sana.

Wengi wanavaa mitumba na mwenye hela mwenyewe ananunua mradi liwe jipya tu ila sio brand maana hata kariakoo utakuta sandals.

zimeandikwa Range Rover unajiuliza Range wanatoa mpaka malapa?
Mambo ya maduka ya woolworth
Sijui yameishia wapi
Wengine sisi tunavaa mtumba tu wa UK na Canada,USA inatosha [emoji1]

Ova
 
Hayo maduka yenye brand yakiletwa huku, wateja ni wachache sana...
Kwa Sasa maduka hayo makubwa yaliyopo yanaitwaje.... Japo tukiwa tunapita nje ya hayo maduka tuwe tunnajua.... Haya maduka kwa ajili ya shopping za vigogo😋😂🙊😴
 
Mambo ya maduka ya woolworth
Sijui yameishia wapi
Wengine sisi tunavaa mtumba tu wa UK na Canada,USA inatosha [emoji1]

Ova
Ndio bye bye yale maduka
Tena sio umasikini bali hiyo mitumba ndio imebadilisha mengi
 
Back
Top Bottom