Kwanini tutumie MSALABA kama alama ya Ukristo? It was a weapon of execution!

Pamoja na hayo yote; kutenda dhambi ni hulka ya kibinadamu. Binadamu wote huwa na uelekeo wa kutenda dhambi ( All Humans are prone to sin). Ukifuatilia Mateso ya Yesu Kristo hadi Ufufuko wake utapata kuona kuna hitajio la mtazamo mpya kwamba ukitenda dhambi ni kama changamoto ambayo inakubidi upambane kuitatua i.e. Kutubu/Kuikataa dhambi/Kukusudia kwa dhati kuiepuka dhambi hiyo/hizo na ukifaulu kubadilika jumla(metanoia) ni sawa na kusema umefufuka kutoka mautini/hali ya kuwa mfu(wafu) na Yesu alituonesha kwa kufufuka kwake -japokuwa hakuwa na dhambi. Yesu alihukumiwa adhabu ya kifo kwa kesi ya kubambikiziwa na utaona jinsi uendeshwaji wa kesi yake ulikuwa wa Fasta-Fasta (Kukamatwa saa 9 usiku na kesho yake saa 9 alasiri (Jioni) tayari hukumu ya kumsulubisha imeshatekelezwa yan ndani ya 24 hrs - kazi kwisha.
Yes! be blessed mkuu.
 
Kama Yesu angeuawa kwa kupigwa mawe for alleged blasphemy they brought to the high priest, akavuja damu, je tungekuwa tunaweka mawe juu ya makanisa kama alama ya kanisa?? Yesu hakuwa wa kwanza kuuwawa kwenye gogo. It was the most severe mode of execution for the enemies of the Roman empire. Maelfu ya watu walisulibiwa.
Pastor:-Kila MTU atachukua msalaba wake

Mimi:- mbona barabarani sijaona aliyechukua msalaba wake tayari?

Pastor:- Hujaenda hospital ya Moyo ukaona watu wanakufa Kwa sababu ya misalaba mizito!?

Mimi:- nimeenda Ila sijaona

Pastor:- wewe unakaa wapi, ?

Mimi:- Nakaaa buguruni

Pastor :- Sawa, umekaa hapo Kwa Muda Gani,

Mimi:- miezi miwili Sasa.

Pastor :- awali ulikuwa unakaa wapi,

Mimi:- nimekaa kawe,Motoko ,msimbazi Na Sasa ndio Niko buguruni
Pastor:- Kwa Nini ulihama huko kote?

Mimi:- kawe wizi Na uswahili vilinishinda, Moroko niliona mateja wamekuwa wengi, hivo nikaona Ni hatari Kwa future yangu, msimbazi nilihama sababu ilifikia hatua makahaba wanafanya mambo Yao dirishani kwangu, nikaona isiwe Tabu, japo hata buguruni Bado Nina changamoto ,,,,Nawaza kuhama

Pastor:- mwanangu hiyo ndio misalaba Na wewe umeikimbia huko kote, hivo msalaba siyo mbao linalobishaniwa Na walimwengu Leo Kwamba iwe kama X au Mti mmoja

Yesu alituvumilia Na ujinga wetu, alikula Na makahaba, watoza ushuru, Na wenye Zambi wengi , Ila Sisi tunawatenga
 
Safi sana. Tunawatenga, tunawanyanyasa na kuwanyanyapaa(Stigmatisation) kana kwamba sisi ni wakamilifu sana.
 
BWANA atusaidie hatujui tulitendalo!
Amina sanaa. Wengi tunakataa /Tunashupaza shingo hatutaki kujifunza zaidi eti tumeshaumaliza mwendo. Tumejizima data nakusahau maisha ya kikristo(Ukristo) ni mchakato endelevu hadi pale Uhai(Salio) litakapoisha(Kufa).
 
sijasema ni dhambi, ila namaanisha kutumia kama symbol au kutotumia haisaidii kukupa wokovu. Maana hata kanisa la mitume hawakuwa na mda wa kuanza kutumia alama flani kama utambulisho wao ila kwa kizazi hiki makanisa ni mengi so ndio maana kila kanisa lina design msalaba wake tofauti na mengine.
Kanisa la mwanzo walitumia samaki na mkate
 
Mleta maada msalaba ni ushahidi wa kwamba tulikombolewa kwa mateso makali

Si vibaya mtu kutembea na kombe lake baada ya ushindi

Hata team za mpira zikibeba ushindi huwa zinaonesha makombe yake na mataji yake

Ushindi sisi tuliupata kutokana na vita ya Giza zidi ya vita ya mwanga/Nuru

Kwahiyo msalaba ni ushahidi wa wokovu wetu

Asante sana
 
Pamoja na hayo yote; kutenda dhambi ni hulka ya kibinadamu. Binadamu wote huwa na uelekeo wa kutenda dhambi ( All Humans are prone to sin). Ukifuatilia Mateso ya Yesu Kristo hadi Ufufuko wake utapata kuona kuna hitajio la mtazamo mpya kwamba ukitenda dhambi ni kama changamoto ambayo inakubidi upambane kuitatua i.e. Kutubu/Kuikataa dhambi/Kukusudia kwa dhati kuiepuka dhambi hiyo/hizo na ukifaulu kubadilika jumla(metanoia) ni sawa na kusema umefufuka kutoka mautini/hali ya kuwa mfu(wafu) na Yesu alituonesha kwa kufufuka kwake -japokuwa hakuwa na dhambi. Yesu alihukumiwa adhabu ya kifo kwa kesi ya kubambikiziwa na utaona jinsi uendeshwaji wa kesi yake ulikuwa wa Fasta-Fasta (Kukamatwa saa 9 usiku na kesho yake saa 9 alasiri (Jioni) tayari hukumu ya kumsulubisha imeshatekelezwa yan ndani ya 24 hrs - kazi kwisha.
Asante kwa mchango wako
 
Amina sanaa. Wengi tunakataa /Tunashupaza shingo hatutaki kujifunza zaidi eti tumeshaumaliza mwendo. Tumejizima data nakusahau maisha ya kikristo(Ukristo) ni mchakato endelevu hadi pale Uhai(Salio) litakapoisha(Kufa).
Wana Theology yao inasema once saved forever saved au salvation can not be lost. Ukiongozwa sala ya toba ndio umeumaliza mwendo. Asante kwa mchango wako.
 
Ukienda kwenye historia na theolojia, msalaba ulitumika kama njia ya kifo kwa walionekana kufanya kosa kubwa kabisa, na kilichoweza kuonesha kuwa kosa hilo ni kubwa, ni sheria ya Musa, yaani torati. Kifo cha msalaba ulikuwa ni desturi ya Wayahudi, siyo Warumi. Kifo cha msalaba kilikuwa ni kifo cha mateso makali sana. Hivyo msalaba ulitumika kama alama ya mateso na shida. Ndiyo maana Yesu, kabla ya kusulibiwa msalabani, alitoa ujumbe wake kuwa anayetaka kumfuata, na auchukue msalaba wake amfuate. Hapa akimaanisha kuwa hata kama utakuwa katika shida na mateso, bado hata katika hayo maisha, unatakiwa kuyatatua kwa kufuata mafundisho yake. Yaani usitafute njia ya kuondokana na shida na mateso kwa kufanya kinyume na neno lake.

Lakini ukija katika kifo cha Kristo mslabani, kabla ya kusulibiwa msalabani, Yesu anatamka kuwa mwili na damu yake ndiyo mwanzo wa Agano Jipya, na Agano hilo ni la milele, na anatoa mkate kama kiashiria cha mwili wake, anatoa divai kama kiashiria cha damu yake, na anasema kuwa mkate huo anaoufanya kuwa mwili wake, na divai anayoifanya kuwa damu yake, vyote hivyo vinaenda kutolewa juu ya msalaba, na vinakuwa njia ya wokovu wa mwanadamu. Msalaba uliokuwa laana anaufanya kuwa njia ya wokovu. Huo ndiyo utimilifu wa tamko lake mwenyewe kuwa hakuja kuuhukumu Ulimwengu bali alikuja kuukomboa Ulimwengu.
Wanateolojia kutokana na maandiko mengine ya kale, yasiyo ndani ya Biblia, wanaeleza wazi kuwa msalaba ni kiashiria cha pande kuu za Dunia, yaani Kaskazini, Kusini, Mashariki na Magharibi. Hivyo msalaba uliofanywa kuwa alama ya mateso na laana, unafanywa kuwa njia ya kuwaita wanadamu wote toka pande zote za Dunia, kumwendea Yesu Kristo kwaajili ya wokovu wao. Kwa njia ya msalaba, Agano lililokuwa kati ya Mungu na wana wa Israel, sasa linafanywa kuwa kati ya Mungu na Ulimwengu mzima.
Ikumbukwe pia kuwa kuanzia karne ya pili, wakristo wa mwanzo ndipo walianza kusali kwa kufanya alama ya msalaba, na wakaanza kuvaa msalaba kama namna ya kujitambulisha kuwa wao ni wakristo. Wakati wa mwishoni mwa karne ya 3, msalaba ukaanza kuwekwa maeneo ya kuabudia kama alama ya ukristo.

Msalaba unatumika kama alama ya ukamilifu wa Ukristo wetu. Maana ni baada ya kifo cha Kristo msalabani, ndipo Kristo anatamka kuwa ameikamilisha kazi ya ukombozi na kisha anaurudia utukufu wake aliokuwa nao pamoja na Baba kabla ya Ulimwengu kuwako, utukufu ambao aliuacha alipojifanya mtu. Ni katika msalaba, ndipo Kristo alipowadhihirisha wanadamu kuwa Mungu wetu ni Mungu wa msamaha. Fikiria kuwa Yesu anasulibiwa msalabani, anauawa kwa kupitishwa kwenye mateso makali, kisha anawaombea waliomwua kuwa Baba awasanehe, kwa kuwa hawajui watendalo.
 
Mleta maada msalaba ni ushahidi wa kwamba tulikombolewa kwa mateso makali

Si vibaya mtu kutembea na kombe lake baada ya ushindi

Hata team za mpira zikibeba ushindi huwa zinaonesha makombe yake na mataji yake

Ushindi sisi tuliupata kutokana na vita ya Giza zidi ya vita ya mwanga/Nuru

Kwahiyo msalaba ni ushahidi wa wokovu wetu

Asante sana
Kwa hiyo kama angeuawa kwa mawe kila jiwe, jiwe la ukuta wa nyumba yangu, jiwe lolote nikiliona barabarani, shambani n.k litakua ni sacred object worth of veneration? Theology ya msalaba sivyo watu wengi wanavyoelewa. Hata mtume Paul or whoever wrote that epistle hakumaanisha gogo la mti. It can symbolically represent the inner meaning but the mainstream Christianity has changed it into an OBJECT OF VENERATION. Haya ni makosa makubwa ya kiteolojia.
 
Ukienda kwenye historia na theolojia, msalaba ulitumika kama njia ya kifo kwa walionekana kufanya kosa kubwa kabisa, na kilichoweza kuonesha kuwa kosa hilo ni kubwa, ni sheria ya Musa, yaani torati. Kifo cha msalaba ulikuwa ni desturi ya Wayahudi, siyo Warumi. Kifo cha msalaba kilikuwa ni kifo cha mateso makali sana. Hivyo msalaba ulitumika kama alama ya mateso na shida. Ndiyo maana Yesu, kabla ya kusulibiwa msalabani, alitoa ujumbe wake kuwa anayetaka kumfuata, na auchukue msalaba wake amfuate. Hapa akimaanisha kuwa hata kama utakuwa katika shida na mateso, bado hata katika hayo maisha, unatakiwa kuyatatua kwa kufuata mafundisho yake. Yaani usitafute njia ya kuondokana na shida na mateso kwa kufanya kinyume na neno lake.

Lakini ukija katika kifo cha Kristo mslabani, kabla ya kusulibiwa msalabani, Yesu anatamka kuwa mwili na damu yake ndiyo mwanzo wa Agano Jipya, na Agano hilo ni la milele, na anatoa mkate kama kiashiria cha mwili wake, anatoa divai kama kiashiria cha damu yake, na anasema kuwa mkate huo anaoufanya kuwa mwili wake, na divai anayoifanya kuwa damu yake, vyote hivyo vinaenda kutolewa juu ya msalaba, na vinakuwa njia ya wokovu wa mwanadamu. Msalaba uliokuwa laana anaufanya kuwa njia ya wokovu. Huo ndiyo utimilifu wa tamko lake mwenyewe kuwa hakuja kuuhukumu Ulimwengu bali alikuja kuukomboa Ulimwengu.
Wanateolojia kutokana na maandiko mengine ya kale, yasiyo ndani ya Biblia, wanaeleza wazi kuwa msalaba ni kiashiria cha pande kuu za Dunia, yaani Kaskazini, Kusini, Mashariki na Magharibi. Hivyo msalaba uliofanywa kuwa alama ya mateso na laana, unafanywa kuwa njia ya kuwaita wanadamu wote toka pande zote za Dunia, kumwendea Yesu Kristo kwaajili ya wokovu wao. Kwa njia ya msalaba, Agano lililokuwa kati ya Mungu na wana wa Israel, sasa linafanywa kuwa kati ya Mungu na Ulimwengu mzima.
Ikumbukwe pia kuwa kuanzia karne ya pili, wakristo wa mwanzo ndipo walianza kusali kwa kufanya alama ya msalaba, na wakaanza kuvaa msalaba kama namna ya kujitambulisha kuwa wao ni wakristo. Wakati wa mwishoni mwa karne ya 3, msalaba ukaanza kuwekwa maeneo ya kuabudia kama alama ya ukristo.

Msalaba unatumika kama alama ya ukamilifu wa Ukristo wetu. Maana ni baada ya kifo cha Kristo msalabani, ndipo Kristo anatamka kuwa ameikamilisha kazi ya ukombozi na kisha anaurudia utukufu wake aliokuwa nao pamoja na Baba kabla ya Ulimwengu kuwako, utukufu ambao aliuacha alipojifanya mtu. Ni katika msalaba, ndipo Kristo alipowadhihirisha wanadamu kuwa Mungu wetu ni Mungu wa msamaha. Fikiria kuwa Yesu anasulibiwa msalabani, anauawa kwa kupitishwa kwenye mateso makali, kisha anawaombea waliomwua kuwa Baba awasanehe, kwa kuwa hawajui watendalo.
Nashukuru sana. Watu kama wewe naweza kuwa nao kwa intellectual discussions.
 
Wana Theology yao inasema once saved forever saved au salvation can not be lost. Ukiongozwa sala ya toba ndio umeumaliza mwendo. Asante kwa mchango wako.
Mmmh! Sidhan ni kirahisi hivyo eti ukiongozwa sala ya toba ndio umeumaliza mwendo -Hapana. Soma: 1 Wakorinto 10: 12.
 
Collapse makario yako,sisi tulitenda zambi gani tukiwa Afrika?kati ya Saafrika na wazungu ni kina nani waliyenda na wanaendelea kutenda dhambi,acheni ujinga wa kumezameza mambo yatapikeni sasa hayana ukweli wowote
 
Back
Top Bottom