Kwanini tz hamna digrii za radiography?

Kwanini tz hamna digrii za radiography?

nyamakonge

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2013
Posts
363
Reaction score
131
Habar zenu wakuu.napenda kuwaslsha jambo hli lnalozuia baadh ya vjana kupata fursa ya kusma tasnia hii.wakat miundo mbnu yote ya kua na program hii ktka vyuo vkubwa kama muhmbili na bugando ambko wanatoa dip ya radiography ipo.naomba mohsw walpe uzto
 
unauhakika Muhimbili
hakuna Degree ya hii kitu?
 
Mkuu mbona hiyo kozi imeshaanza hapo MUHAS? Kama sikosei mpaka sasa batch mbili zimeshagraduate tena nakumbuka mara ya kwanza walimaliza wawili tu.Hebu fuatilia vizuri ndugu
 
Mkuu mbona hiyo kozi imeshaanza hapo MUHAS? Kama sikosei mpaka sasa batch mbili zimeshagraduate tena nakumbuka mara ya kwanza walimaliza wawili tu.MKUU HYO NI RADIOTHERAPY AND NOT RADIOGRAPHY.Note that
 
unafikri vyuo vikuu wanaibuka tu kuanzisha kozi kwa matakwa yako?

mkuu mbn unakurupka?me cjazumgza kwa matakwa yang.we unajuaje am interested on such field.me na compare na other ea countries.
 
Back
Top Bottom