nyamakonge
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 363
- 131
Habar zenu wakuu.napenda kuwaslsha jambo hli lnalozuia baadh ya vjana kupata fursa ya kusma tasnia hii.wakat miundo mbnu yote ya kua na program hii ktka vyuo vkubwa kama muhmbili na bugando ambko wanatoa dip ya radiography ipo.naomba mohsw walpe uzto