nyamakonge
JF-Expert Member
- May 28, 2013
- 363
- 131
Mkuu mbona hiyo kozi imeshaanza hapo MUHAS? Kama sikosei mpaka sasa batch mbili zimeshagraduate tena nakumbuka mara ya kwanza walimaliza wawili tu.MKUU HYO NI RADIOTHERAPY AND NOT RADIOGRAPHY.Note that
au unaota?
unafikri vyuo vikuu wanaibuka tu kuanzisha kozi kwa matakwa yako?
unauhakika Muhimbili
hakuna Degree ya hii kitu?