Escobber pablo
JF-Expert Member
- Jun 17, 2024
- 302
- 695
Hapa mtaani Kuna tukio limenisikitisha mno kijana etu mdogo miaka 19 anaenda jela miaka 30 kosa la kubaka niliwaonea huruma san wazazi wake.
Hivi haya matukio ya ulawiti, ubakaji pamoja na vifungo vya jela na magonjwa ya hatari kama HIV n.k, yanazidi kuiathiri jamii yetu has upande wa wanaume sana.
Pia soma: Uhalifu 2023: Zanzibar yaongoza ubakaji, Arusha yaongoza ulawiti
Hivi kati ya kupiga nyeto na kwenda jela au kupata magonjwa kama HIV, Kisonono n.k kipi bora? Siyo kwamba nahamasisha watu wapige nyeto lakini bora tu mpigie kwani hakuna sayansi iliyodhibitisha madhara yake moja kwa moja.
Wapiga nyeto wanajiepusha sana na kadhia mbali mbali jamani, mbona mimi nilipiga enzi zangu na niko sawa tu!