Kwanini ubake wakati unaweza kupiga punyeto?

Tunda lilomchanganya Adam mpaka akafukuzwa kwenye bustani...
😁😁😁!

Huendi mbinguni ujue 😂😂!

Wee fumua tuuuu maku zilivo nyingi hivi upige punyeto kweli??? Hayo ni matumizi mabaya ya rasilimali 🍆😁!
 
Hapa mtaani Kuna tukio limenisikitisha mno kijana etu mdogo miaka 19 anaenda jela miaka 30 kosa la kubaka niliwaonea huruma san wazazi wake.

Hivi haya matukio ya ulawiti, ubakaji pamoja na vifungo vya jela na magonjwa ya hatari kama HIV n.k, yanazidi kuiathiri jamii yetu has upande wa wanaume sana.

Pia soma: Uhalifu 2023: Zanzibar yaongoza ubakaji, Arusha yaongoza ulawiti

Hivi kati ya kupiga nyeto na kwenda jela au kupata magonjwa kama HIV, Kisonono n.k kipi bora? Siyo kwamba nahamasisha watu wapige nyeto lakini bora tu mpigie kwani hakuna sayansi iliyodhibitisha madhara yake moja kwa moja.

Wapiga nyeto wanajiepusha sana na kadhia mbali mbali jamani, mbona mimi nilipiga enzi zangu na niko sawa tu!
punyeto kote mbali.

ajifunze kutongoza. Mbona Tanzania ina uhuru wa kutongoza, ye anafeli wapi
 
Hapa mtaani Kuna tukio limenisikitisha mno kijana etu mdogo miaka 19 anaenda jela miaka 30 kosa la kubaka niliwaonea huruma san wazazi wake.

Hivi haya matukio ya ulawiti, ubakaji pamoja na vifungo vya jela na magonjwa ya hatari kama HIV n.k, yanazidi kuiathiri jamii yetu has upande wa wanaume sana.

Pia soma: Uhalifu 2023: Zanzibar yaongoza ubakaji, Arusha yaongoza ulawiti

Hivi kati ya kupiga nyeto na kwenda jela au kupata magonjwa kama HIV, Kisonono n.k kipi bora? Siyo kwamba nahamasisha watu wapige nyeto lakini bora tu mpigie kwani hakuna sayansi iliyodhibitisha madhara yake moja kwa moja.

Wapiga nyeto wanajiepusha sana na kadhia mbali mbali jamani, mbona mimi nilipiga enzi zangu na niko sawa tu!
Madhara yapo bhana…, usitake watu waongee sana, we jua madhara yapo, bora kununua malaya Sinza, ila sio kujichukulia sheria mkononi
 
Ex member wa CHAPUTA ametema nyongo. Kweli we legend mzee. 🙌
 
Shuhuda wewe? Waambie wenzio ukweli unavyoteseka saivi kwa ajili ya hiyo nyeto
Ningekuwa na kipaji kizuri cha uandishi ningeianzishia uzi kamili kbs na ungekuwa ni uzi uliojaa facts tupu, au kama una uwezo mzuri wa kiuandishi mkuu uje nikusimulie, ushushe uzi
 
Hiyo kichwa ya uzi imekaa kitaalam sana
 
Ningekuwa na kipaji kizuri cha uandishi ningeianzishia uzi kamili kbs na ungekuwa ni uzi uliojaa facts tupu, au kama una uwezo mzuri wa kiuandishi mkuu uje nikusimulie, ushushe uzi
Pole sana mkuu cha msingi waambie tu nyeto sio dili waoe tu.
 
"Kula vzuri, fanya mazoezi, pumzisha mwili wako"

By Prof Jay in Starehe - Ferooz

Mambo ya nyeto mara kubaka ni shida ya akili.
 
Hapa mtaani Kuna tukio limenisikitisha mno kijana etu mdogo miaka 19 anaenda jela miaka 30 kosa la kubaka niliwaonea huruma san wazazi wake.

Hivi haya matukio ya ulawiti, ubakaji pamoja na vifungo vya jela na magonjwa ya hatari kama HIV n.k, yanazidi kuiathiri jamii yetu has upande wa wanaume sana.

Pia soma: Uhalifu 2023: Zanzibar yaongoza ubakaji, Arusha yaongoza ulawiti

Hivi kati ya kupiga nyeto na kwenda jela au kupata magonjwa kama HIV, Kisonono n.k kipi bora? Siyo kwamba nahamasisha watu wapige nyeto lakini bora tu mpigie kwani hakuna sayansi iliyodhibitisha madhara yake moja kwa moja.

Wapiga nyeto wanajiepusha sana na kadhia mbali mbali jamani, mbona mimi nilipiga enzi zangu na niko sawa tu!
Hata wafanya ngono zembe na wahesharati wapo wengi tu hawana UKIMWI lakini hiyo haiwezi kuwa justification kwamba ngono zembe haina madhara.

Nyeto ina madhara japo sio wote wanaoathirika lakini wapo watu kibao wameathirika completely.
 
Back
Top Bottom