Naton Jr
JF-Expert Member
- Oct 5, 2016
- 7,867
- 19,250
Huwa najiuliza Tanzania yetu ni nchi ya kawaida na tupo kivyetuvyetu kutokana na utamaduni wetu ni very conservative na lugha yetu ya mambo yote haijulikani to the outside world lakini utashangaa namna tupo effective kwenye worlds headlines
Kuna jambo la kawaida tu linaweza kutokea Tanzania hata mtu wa Tabora asilijue lakini uki Google utashangaa ni hotnews Cameroon, Ghana, Tunisia 🤔
Magufuli hajawahi kuongea English (kama alishawahi ni chini ya mara 2) lakini habari za Magufuli lazima uzikute CNN, BBC, ABC, AL Jazeera, NFP, Yahoo's, New York Times, The Guardian UK, SABC yaani kila media kubwa ulimwenguni
Kuna habari za kawaida za Magu utazikuta zimererpotiwa Jamaica, Malaysia, Australia almost everywhere, sa huwa nashangaa why?
Kilichoninya nifungue thread ni hili la jana kutoka kwa Pompeo kutweet kuhusu uchaguzi wa Tanzania
Nimeshangaa sana kuona intersections za hiyo tweet kupindukia tweet zake zote alizotweet kwa miezi miwili nyuma nilizozikagua, hapa nilikua tu naangalia number of comments, TRs na likes
Katika tweets zake zote za miezi zaidi ya miwili nyuma, tweet iliokua na comments nyingi zaidi ni comments 1k, RTs, nyinyi zaidi ni 2k na likes nyingi zaidi hazifiki hata 10k
Lakini katika kipindi cha muda mfupi baada ya kutweet kuhusu Tanzania ghafla the whole tweet got on fire na bado imekua retweeted na quoted na users wengi waliopo verified, serikali nzima ya Marekani imetweet kitu ambacho sijaona kwenye tweets zake nyingi
Pia nashangaa sababu Africa kuna nchi zaidi ya 5 zipo kwenye uchaguzi na zingine watu wanachinjana mpaka ninavyoandika hii thread lakini Hakuna mamlaka ya Marekani ilio concerned at all, kwa nini uchaguzi wa Tanzania unafuatiliwa sana na magharibi kuliko uchaguzi wowote Africa?
Kwanini serikali ya Marekani ipo close sana na mambo yetu kiasi hiki? Ikumbukwe ni Pompeo huyu huyu aliempiga ban Makonda kuingia US
Ikumbukwe pia pamoja na watanzania kusheheni mitandaoni lakini bado tupo online kwa nguvu ya VPNs