"Ndugu zangu, Tanzania tuna kila kitu. Tumeibiwa sana. Tumechezewa sana. Tumecheleweshwa muda mrefu. Tanzania ilikuwa imefanywa shamba la bibi. Hao mabeberu hawawezi kufurahia hata kidogo juhudi hizi tunazochukua kwa ajili ya ustawi na maendeleo yetu ya kudumu. Vita vya kiuchumi ni vibaya sana kuliko vita vya kawaida." ~ Dkt. Magufuli.