Tatizo una judge vijana wa sasa kwa vigezo vya wazazi wao na kaka zao
Kijana huyu unayemzungumzia kafika umri wa kubeba majukumu kipindi ambacho pesa imepoteza thamani (milioni moja ya mwaka 2000 ni sawa na milioni 5 ya mwaka 2025); yaani bado kwa ujira ule ule na mifumuko ya gharama za maisha anategemewa amuhudumie mwanamke kama mtoto (ingawa siku hizi wana kipato chao pia ), alipe ada, atunze wazazi wake na ahusike pia kwenye shida za ndugu wa mkewe , alipe kodi huku anajenga na ukurutu mwingine kibao
Badala ya lawama kuelekezwa kwa vijana ni bora kufanya upembuzi ya mabadiliko ya mazingira ambayo vijana hawa wanapambana