Chukwu emeka
JF-Expert Member
- Jan 12, 2018
- 24,314
- 38,919
We ndo unafanya nchi inazidi kuwa masikini,Nikupige mimba tu mtoto atajitegemea mwenyewe hakuna kumpa urithi wowote wa kumpa urithi wake ni elimu akifeli kusoma imekula kwake aingie mtaani akasumbuane na maisha
Nafanya Nchi inazidi kua tajiriWe ndo unafanya nchi inazidi kuwa masikini,
Tatizo una judge vijana wa sasa kwa vigezo vya wazazi wao na kaka zaoNdugu ndoa ni kwa watu wenye akili tu.
Uchumba hauhitaji akili ndio maana unadumu sana kuliko ndoa.
Halafu asili ya mwanaume ni kupay bills yaani kutoa na kuhudumia na asili ya mwanamke ni kupokea au kuhudumiwa.
Kitu ambacho vijana wengi wa kiume wa hivisasa hawawezi ile kulipa kodi, milo mitatu mezani, mavazi na mapambo ya mke na watoto, kusomesha watoto na kusaidia ndugu kwao ni mzigo mzito sana kwao wengi wamezoea kulelewa.
Kwa kutaka kuongeza idadi ya single mothersNafanya Nchi inazidi kua tajiri
Hakuna sio km hivyoKwa kutaka kuongeza idadi ya single mothers
Nasisitiza utimamu wa akili kwasababu hata hilo suala lako la mfumuko wa bei kama wanandoa wana akili timamu ni rahisi sana kupambana na kuendana nalo lakini kama wote au mmoja wao hana akili mfumuko wa bei utapelekea kuvunjika kwa ndoa yao.Tatizo una judge vijana wa sasa kwa vigezo vya wazazi wao na kaka zao
Kijana huyu unayemzungumzia kafika umri wa kubeba majukumu kipindi ambacho pesa imepoteza thamani (milioni moja ya mwaka 2000 ni sawa na milioni 5 ya mwaka 2025); yaani bado kwa ujira ule ule na mifumuko ya gharama za maisha anategemewa amuhudumie mwanamke kama mtoto (ingawa siku hizi wana kipato chao pia ), alipe ada, atunze wazazi wake na ahusike pia kwenye shida za ndugu wa mkewe , alipe kodi huku anajenga na ukurutu mwingine kibao
Badala ya lawama kuelekezwa kwa vijana ni bora kufanya upembuzi ya mabadiliko ya mazingira ambayo vijana hawa wanapambana