WaituWaitu
Member
- Aug 15, 2012
- 41
- 1
Nashindwa kuelewa kwa nini UDOM wameamua kupandisha gharama za direct cost kutoka 239000 hadi 410000 kwa wanafunzi wanaondelea except college of health science amnbao wenyewe wamepandishiwa hadi 4610000.
Mwenye kujua sababu anijuze.
Mwenye kujua sababu anijuze.