Mlikuwa mnataka mvunje tena rekodi kwa tuzo kupewa mwanamke wa kwanza Africa diktekta? You must be joking 🤣 🤣Sababu walizozitoa za kwanini wamtunuku Rais MWINYI hazitoshi kabisa. Eti Wanampa tunzo kwa kuwa Waziri wa Ulinzi na kushiriki vema katika kazi za kimataifa!!! looh!! tuzo kama hiyo si ingeenda kwa Mkuu wa nchi na Makamu wake walioruhusu nchi ishiriki kazi za kimataifa?
Wazungu hawana cha bure hata kidogo (no free lunch), wanataka nini kwetu, hasa Zanzibar?
ChanjoSababu walizozitoa za kwanini wamtunuku Rais MWINYI hazitoshi kabisa. Eti Wanampa tunzo kwa kuwa Waziri wa Ulinzi na kushiriki vema katika kazi za kimataifa!!! looh!! tuzo kama hiyo si ingeenda kwa Mkuu wa nchi na Makamu wake walioruhusu nchi ishiriki kazi za kimataifa?
Wazungu hawana cha bure hata kidogo (no free lunch), wanataka nini kwetu, hasa Zanzibar?
Hapo jua the giant TOTAL ,ipo karibu inataka kuvuna mafuta kwenye ukanda wa bahari wa Zenj,Sababu walizozitoa za kwanini wamtunuku Rais MWINYI hazitoshi kabisa. Eti Wanampa tunzo kwa kuwa Waziri wa Ulinzi na kushiriki vema katika kazi za kimataifa!!! looh!! tuzo kama hiyo si ingeenda kwa Mkuu wa nchi na Makamu wake walioruhusu nchi ishiriki kazi za kimataifa?
Wazungu hawana cha bure hata kidogo (no free lunch), wanataka nini kwetu, hasa Zanzibar?
Kama ni hilo tusiwe na papara, tutulizane, tukae kitako na tufanye deep breath tutafakari kwa kina kwa kutumia washauri wetu wa ndani na wale wa kutoka kwa marafiki zetu wazoefu wa mafuta kama vile Oman, Kuweit, Egypt kuhusu uchimaji wa mafuta faida na hasara, mikataba na makampuni sahihi ya kuchimba mafuta.Hapo jua the giant TOTAL ,ipo karibu inataka kuvuna mafuta kwenye ukanda wa bahari wa Zenj,
Achana na mtu mweupe,anajua kulenga.