Kwanini Ufaransa wampe TUZO Rais wetu Mwinyi?

kavulata

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2012
Posts
13,778
Reaction score
14,214
Sababu walizozitoa za kwanini wamtunuku Rais MWINYI hazitoshi kabisa. Eti Wanampa tunzo kwa kuwa Waziri wa Ulinzi na kushiriki vema katika kazi za kimataifa!!! looh!! tuzo kama hiyo si ingeenda kwa Mkuu wa nchi na Makamu wake walioruhusu nchi ishiriki kazi za kimataifa?

Wazungu hawana cha bure hata kidogo (no free lunch), wanataka nini kwetu, hasa Zanzibar?
 
Wanarudisha fadhira kwa tenda za silaha alizokuwa akiwapa alipikuwa waziri wa ulinzi
Msihofu....
 
Sababu walizozitoa za kwanini wamtunuku Rais MWINYI hazitoshi kabisa. Eti Wanampa tunzo kwa kuwa Waziri wa Ulinzi na kushiriki vema katika kazi za kimataifa!!! looh!! tuzo kama hiyo si ingeenda kwa Mkuu wa nchi na Makamu wake walioruhusu nchi ishiriki kazi za kimataifa?

Wazungu hawana cha bure hata kidogo (no free lunch), wanataka nini kwetu, hasa Zanzibar?
Mlikuwa mnataka mvunje tena rekodi kwa tuzo kupewa mwanamke wa kwanza Africa diktekta? You must be joking 🤣 🤣
 
Sababu walizozitoa za kwanini wamtunuku Rais MWINYI hazitoshi kabisa. Eti Wanampa tunzo kwa kuwa Waziri wa Ulinzi na kushiriki vema katika kazi za kimataifa!!! looh!! tuzo kama hiyo si ingeenda kwa Mkuu wa nchi na Makamu wake walioruhusu nchi ishiriki kazi za kimataifa?

Wazungu hawana cha bure hata kidogo (no free lunch), wanataka nini kwetu, hasa Zanzibar?
Chanjo
 
Hapo jua the giant TOTAL ,ipo karibu inataka kuvuna mafuta kwenye ukanda wa bahari wa Zenj,
Achana na mtu mweupe,anajua kulenga.
 
Kama ni hilo tusiwe na papara, tutulizane, tukae kitako na tufanye deep breath tutafakari kwa kina kwa kutumia washauri wetu wa ndani na wale wa kutoka kwa marafiki zetu wazoefu wa mafuta kama vile Oman, Kuweit, Egypt kuhusu uchimaji wa mafuta faida na hasara, mikataba na makampuni sahihi ya kuchimba mafuta.

Wakati tunatafakari kwa kina kuhusu uchumi wa mafuta lazima pia tuandae utengamano wa watu wetu kwa kuandaa Katiba na tume zetu za uchaguzi zinazopunguza kama sio kumaliza kabisa migogoro ya kisiasa kabla, wakati na baada ya uchaguzi. Maana kila mahali penye mafuta kunazuka migogoro ya wenyewe kwa wenyewe inayopandikizwa na mabeberu kwa kuitumia mianya ya kwenye chaguzi zetu.
 
Back
Top Bottom