World Logistics Company
Member
- Jun 1, 2021
- 99
- 104
Huu ni ujumbe mahsusi kwa wawakilishi wa makampuni, viwanda na biashara zote wakiwemo wajasiriamali.
Hakuna sababu ya kuhangaika na safari za nje ya nchi kufuata bidhaa au huduma. Ni upotevu wa muda, gharama na kujiingiza kwenye hatari ya kupata maambukizi ya ugonjwa hatari wa Uviko19.
Tunajitahidi kwenye kazi zetu kusaidia makundi haya muhimu ili kuhakikisha kila kitu kinaenda sawa kwa kuepusha hatari ya watu kuumwa na kuingia gharama za ziada. Hii ndio sababu imepelekea tuje na suluhisho la kufuata bidhaa/mizigo popote ilipo na kuileta nchini Tanzania kwa muagizaji.
Inawezekana ikaonekana ni tangazo la biashara, lakini tujiulize, ni kiasi gani lina tija kwa wajasiriamali, wafanyabiashara, taasisi na uchumi wa nchi kwa ujumla?
Tusaidiane kujenga uchumi wa nchi yetu. Tutumeni tufuate mizigo hata kama ni tani 34924284242 tutazifuata na kuzileta.
Kuna swali?