Kwanini Ufugaji wa Nguruwe Unaweza Kuwa Utajiri Mkubwa?

Tuonyeshe huu utajiri in numbers kutumia bei na soko la sasa, mfano ulio karibu na ukweli
 
Kwa mujibu wa Sensa ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya mwaka 2019/2020, Tanzania ilikuwa na takriban:

  • 🐄 Ng’ombe: 36.6 milioni
  • 🐖 Nguruwe: 3.2 milioni

Hii inaonyesha kuwa idadi ya ng’ombe ni zaidi ya mara kumi ya nguruwe nchini
 
Hii ni fursa kwa wafugaji kua bado demand ni kubwa sana
 
Mbwa analiwa vizuri tu
 
Acha maishu ya kidini.
 
Mkuu sio kwamba wanaliwa sana ndio maana wanazidiwa idadi na ng'ombe🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…