Xhaks
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 248
- 233
Uko sahihi,hawa jamaa wanapiga hela na ndo wanaokuamulia faida au hasaraAnayetajirika haraka ni yule anaechukua - chinja na ondoa kichwa, miguu na mapupu kisha kuviuza kwa bei tofauti na makubaliano ya awali na mfugaji
Ka huamini tembelea machinjio ya k-moto ndo utaona mnyororo wa thamani ulipo