Kwanini ugonjwa wa figo unawasumbua zaidi wanaume kuliko wanawake?

Uta Uta

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2016
Posts
3,740
Reaction score
8,751
Habari wana jamvi,
Nikiingia kwenye mada, moja ya sababu kuu za ugonjwa wa figo ni kutokunywa maji. Kwa mazingira haya tunayoishi nadhani kila mtu ni shahidi kwamaba wanawake hawapendi sana kunywa maji, wao hupendelea kunywa vinywaji vingine kama soda nk ikiwa ni mbadala wa maji na wengine hunywa maji mara moja kwa kiasi kidogo.

Lakini wahanga wakubwa wa ugonjwa wa figo ni wanaume (ingawa hakuna takwimu katika hospitari zetu, ila uzoefu unaonesha hivyo), je kwanini iwe wanaume zaidi kuliko wanawake? Nadhani inaweza saidia nasi wanaume kupunguza maambukizi kama majibu ya kitaalamu yakipatikana
 
Ugonjwa wa figo unampata mtu yoyote akiwa ni Mwanamke au Mwanamme kutokana na ulaji mwingi wa sukari,au chumvi na matumizi ya madawa ya hospitali. Na pia kutokunywa maji ya kutosha tunachotakiwa tujihadhari. Usiweke dhana akilini mwako, eti kuwa Wanaume ndio wanaopatwa na hayo maradhi kuliko wanawake mimi hiyo imani siamini kabisa.
 
Habari wana jamvi,
Nikiingia kwenye mada, moja ya sababu kuu za ugonjwa wa figo ni kutokunywa maji. Kwa mazingira haya tunayoishi nadhani kila mtu ni shahidi kwamaba wanawake hawapendi sana kunywa maji, wao hupendelea kunywa vinywaji vingine kama soda nk ikiwa ni mbadala wa maji na wengine hunywa maji mara moja kwa kiasi kidogo.

Lakini wahanga wakubwa wa ugonjwa wa figo ni wanaume (ingawa hakuna takwimu katika hospitari zetu, ila uzoefu unaonesha hivyo), je kwanini iwe wanaume zaidi kuliko wanawake? Nadhani inaweza saidia nasi wanaume kupunguza maambukizi kama majibu ya kitaalamu yakipatikana
nyama sana, chumvi sana, maji kidogo.
Kwenda kupima mpaka tuzidiwe hoi, la sivyo huwa tunajifanya kujikaza kana kwamba hatuumwi.
 
Pombe mingi mingi ni dawa nzur ya figo

Trip za toilet kibao husafisha figo

HUWEZ KUKUTA MLEVI ALIE SERIOUS ANAUGUA VITU KAMA UTI NK
 
mimi hiyo imani siamini kabisa.
Asante sana Mzizi mkavu hauchimbwi dawa, hapa niweke sawa si imani ila wagonjwa wengi wanaougua figo huku mitaani ni wanaume, kwa mfano mimi binafsi nimeshawahi kuwaona wagonjwa 9 wa figo katika maeneo yetu. Ila sijabahatika kumsikia mgonjwa wa figo wa kike ktk maeneo yetu, pia kuna wadada wanaweza kunywa 0.5 lita ya maji baada ya siku 3, na wengi wako hivyo ila wandunda tu. Ndio hapo nitataka maelezo ya kitaalam
 
Back
Top Bottom