mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 704
- 2,435
Naomba ajira kiongozi.Kwenye haya maisha hakuna namna kazi zako zote wewe mwenyewe kuzifanya ,soo unahitaji wasaidizi, nimesoma trend ya wafanyakazi wangu aisee kama hakuibii lazima awe ni mvivu, nimeajri sasa nimechoka nimeanza kuajiri watu wasio watanzania ndio at least naona mambo yanaenda japo kwa tabu
Madereva mzeeKazi gani hiyo mkuu! Nitumie namba yako pm naahidi sitakuangusha (serious)
Asilimia takribani 70 ya Watu weusi wote kabisa hapa duniani Wana viwango vidogo Sana vya Uaminifu.Kwenye haya maisha hakuna namna kazi zako zote wewe mwenyewe kuzifanya ,soo unahitaji wasaidizi, nimesoma trend ya wafanyakazi wangu aisee kama hakuibii lazima awe ni mvivu, nimeajri sasa nimechoka nimeanza kuajiri watu wasio watanzania ndio at least naona mambo yanaenda japo kwa tabu