kimsboy
JF-Expert Member
- Oct 17, 2016
- 9,846
- 20,319
- Thread starter
- #21
Umefanya la maana sana kibaha inakua sana bosskimsboy , nina nyumba kule, ni kwangu lkn nimehama niko Kibaha .......( ile sifa mbaya ya Mbagala and the like places around) tena kongowe, mbali kabisa na city centre. But I am comfortable with Kongowe rather than being at Mbagara!
Ila ukiwa sehemu za kibaha usinunue ndani ndani, nunua barabarani! tena nunua kiwanja kuanzia sq m 2000 not less than that.....................kiwanja kikubwa ujinafasi!