Kwanini ukijenga nyumba Vikindu na Mbagala hata iwe ya kifahari itakuwa ya kishamba tu?

Umefanya la maana sana kibaha inakua sana boss
 
Ijenge mgeninani tuone. Ukitaka kiwanja huku tuwasiliane
 
Pwani hiyo
 
Na wakazi wengi wa Dar ukishaishi huu ukanda wa wilaya ya Kinondoni ukianza kutafuta kiwanja kuna kitu kinakwambia usiende kutafuta kiwanja wilaya ya Temeke kuna mambo ya kiswazi

Nimeona hiyo mindset kwa watu wengi wa wilaya ya Kinondoni
 
Kaka angu ameishi huko nyumba nzima kubwa na kila kitu ila kodi yake sasa ndogo sana
 
Issue ni mind set..!! Hebu fikiria yale mafuriko yanayotokeaga huko kunakoonekana ni ushuani, halafu linganisha na kijichi..!!
 
Hii ni kawaida hata wasiokuwa na gari atakuambia "PASSO" ni gari ya kishamba,!

Kwa namna ulivyoandika haiwezakani ukawa una nyumba kokote.

Hakuna mwenye nyumba mwenye mawazo ya kifala fala!
Huwa tunakutana nao humo njiani, utawasikia GARI YA MKOPO..!!! Mtu hata hakujui lakini anatoka na conclusion hiyo juu yako
 
Mwamba kimsboy, mi nilidhani unawasema wengine, kumbe wewe ni ndumila kuwili..!!! Kwenye uzi huu umejifanya kuuliza, kumbe una uzi umeuanzia unapachukia kweli kweli Mbagala. Pitia hapa chini uone jinsi ulivyo ndumila kuwili

 
Hukohuko tena mimi nanunua hummer H3 naipimp vya kutosha na naiwekea antilag za maana kila nkidondoka kitaan kila raia inatambua jamaa wa Hummer kaingia, km haitoshi naiwekea personalised number plate, MBAGALA1 au CHAMAZI1 au VIKINDU1 kulingana na jina la eneo husika, ili wenye kuongea sasa ndo wabwabwaje vizuri.
 
[emoji23][emoji23]
 
Cha muhimu ni kwako ndugu,nyimba zimasitiro sanaa,Imagine Kodi na ada January .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…