Kwanini ukikosoa serikali na CCM unaonekana CHADEMA? Na kwa nini ukisifia CCM na Serikali yake unaonekan CCM?

baz kaiza

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2015
Posts
14,971
Reaction score
18,641
Hii kasumba hiko kwa watanzania karibia 80% wewe ukikosoa serikalini tu basi wewe ni Chadema. Vile vile ukisifia serikali tu basi wewe ni mwana CCM kwamba ni makosa kua na akili huru?

Tujifunze kua wazalendo na kuangalia maslahi mapana ya nchi kwanza vyama baadae CCM inaweza kupotea kwenye ramani ya siasa vilevile na Chadema lakini Tanzania itaendelea kuwepo.

Binafsi mimi siwezi kua mtumwa wa chama chochote cha siasa maana vyama uja na kupotea huwa ni suala la mda.

Kua mzalendo na Nchi yako lakini sio chama cha siasa. Wahuni wameweza kutugawa kupitia vyama na sisi kweli tunakubali?

Nitakosoa pale panapostahaili kukosoa nitasifia pale panapofaa kusifia
 
Ukweli ni kwamba, ili upate cha kuisifia CCM na Serikali yake inabidi ama uwe mwanachama wa CCM au uweke focus yako kwenye eneo dogo sana. In the grand scheme of things, CCM na Serikali yake imekuwa mzigo mzito kwa taifa hili. Huwezi kuwa na fikra huru halafu ukapata sababu ya kuiimbia CCM na Serikali yake mapambio!

Mimi nimekuwa sina chama tangu kurejea kwa mfumo wa vyama vingi. Ninasimama na yeyote anayesimama upande wa haki.
 
Naunga mkono hoja
 
Back
Top Bottom