Kwanini Uking'atwa na mbu panawasha na wengine hawawashwi?

Mbu anapokung'ata/vyonza damu huwa anaachilia aina fulani ya protini ambayo huwa ndani ya mate yake, protini ambayo husaidia damu isigande katika kile kimrija anachokidunga kwenye ngozi...

Sasa mwili wa binadamu kiasili umeumbwa na kinga mwili ambazo kila zinapogundua uwepo wa kemikali mpya mwilini (kwa case hii ni yale mate ya mbu), kinga za mwili hutafsiri kama ni adui na hujaribu kupambana ili kuzima shambulio...

Sasa sababu haswa ya kusikia muwasho ni matokeo ya kinga mwili kupambana na mate ya mbu yenye hiyo protini...

Kwa nini watu wengine huwa hawapati muwasho...

1. Wana kinga mwili hafifu
2. Mwili umeshazoea hiyo attack ya mate ya mbu na hivyo kinga mwili hazipambani na hiyo protini kwa kuwa tafsiri yake inajulikana si adui mwenye madhara...
 
Sahihi kabisaaa! Hamna cha kuongezea kwenye hili jibu lako mkuu, umemaliza yotee
 
Mbu anapokung'ata/vyonza damu huwa anaachilia aina fulani ya protini ambayo huwa ndani ya mate yake, protini ambayo husaidia damu isigande katika kile kimrija anachokidunga kwenye ngozi...

Sasa mwili wa binadamu kiasili umeumbwa na kinga mwili ambazo kila zinapogundua uwepo wa kemikali mpya mwilini (kwa case hii ni yale mate ya mbu), kinga za mwili hutafsiri kama ni adui na hujaribu kupambana ili kuzima shambulio...

Sasa sababu haswa ya kusikia muwasho ni matokeo ya kinga mwili kupambana na mate ya mbu yenye hiyo protini...

Kwa nini watu wengine huwa hawapati muwasho...

1. Wana kinga mwili hafifu
2. Mwili umeshazoea hiyo attack ya mate ya mbu na hivyo kinga mwili hazipambani na hiyo protini kwa kuwa tafsiri yake inajulikana si adui mwenye madhara...
Asante sana
 
Kunawengine hawishii kuwashwa tu bali kuvimba na kutokea vipele,hii inasababishwa na nini?
 
Back
Top Bottom