HOJA Kwanini ukinunua ardhi TAUSI kupata hati ni kipengele?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika

Mhandisi Mzalendo

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2010
Posts
8,069
Reaction score
15,029
Habari Wizara ya Ardhi nina mdau wangu alinunua ardhi TAUSI Dodoma jiji yapata mwaka sasa....

Baada ya manunuzi ishu ikahamia kwenye mfumo wa e-ardhi ili kuprocess hatimiliki ya ardhi.

Kila ikifuatiliwa wafanyakazi wa pale wanasema ramani haijapandishwa kwenye mfumo. Na wanadai hela nyingi ili wafuatilie upataji wa HATI.

Naomba kuuliza.
1. Mpaka jiji inapima viwanja na kuvipandisha TAUSI si ramani imekamilika?
2. Why ukishanunua tu TAUSI basi ukilogin e-ardhi uweze kupata ramani kwa kuingiza plot number yako?

3. Why mchakato uanze upya na usumbufu kibao usioisha?

Kama mlitaka kurahisisha mambo kwa nini mnaongeza michakato na mifumo yenu haisomani????

Au kuna namna mnataka iwepo zile business as usual?
 
Mim nina swali moja. Mfumo wa Tausi wanatoa grace period ya muda mfupi sana. Hasa dodoma swal je kwa mfano umelipa ikabak hela labda mil.1 ila muda ule.ukawa umepita je ile hela ambayo umeshalipa kama mil 6 inapotea? Maana ukiingia tausi angalia kule mahomanyika malipo 50% na inayobak wanakupa siku 30 uwe umemaliza. Yani hata makampuni binafsi wanatoaga hata miez 10 wengine ila sasa manispaa jiji
 
Wizara ya Ardhi
 
Kila mradi huwa kuna masharti wanaweka. Kwa viwanja vyote nimeona sharti mojawapo ni kwamba, usipolipia kiwanja kwa wakati, fedha hairejeshwi; na kiwanja kinarudi sokoni kwenye mfumo
 
Back
Top Bottom