Siku 2 mfulizo nimeokota pesa lakini jinsi nilivyostuka na mapigo ya moyo kwenda mbio nimeshangaa sana. Siku ya 2 nimeokota pesa zaidi ya siku ya kwanza.
Kuna mtu amenambia kwa sababu hazikuwa zangu kwa hiyo nilipo okota nikahisi hatia ndio maana nikastuka na kuogopa.
Niliwahi kukuta 500 imeangushwa nikaogopa ghafla ikabidi nimstue jamaa alikuwa amekaa mahali nkameambia kuna jero imeangishwa hapa, akaishi nayo. Sijui kwa nn ila dah.