Kwanini ukiokota pesa unastuka kulilo kawaida?

Kwanini ukiokota pesa unastuka kulilo kawaida?

Wang Shu

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
2,562
Reaction score
3,715
Siku 2 mfulizo nimeokota pesa lakini jinsi nilivyostuka na mapigo ya moyo kwenda mbio nimeshangaa sana. Siku ya 2 nimeokota pesa zaidi ya siku ya kwanza.

Kuna mtu amenambia kwa sababu hazikuwa zangu kwa hiyo nilipo okota nikahisi hatia ndio maana nikastuka na kuogopa.
 
Mbona me siokoti jamaan tokea nimeokota buku 4 mwaka umeisha sasa
 
Unashtukaga wewe labda, mimi naipitia kama mwewe kwa kifaranga kama yangu,...enzi hizo lakini not now.
 
Niliwahi kukuta 500 imeangushwa nikaogopa ghafla ikabidi nimstue jamaa alikuwa amekaa mahali nkameambia kuna jero imeangishwa hapa, akaishi nayo. Sijui kwa nn ila dah.
 
Back
Top Bottom