Charles Gerald
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 1,403
- 1,837
Sasa siku usiombe uote umeingiliwa.mjomba utakuwa umeingiliww kweli.Wakuu habarini tena,
Nataka kujua kwanini ukiaota umekojoa kitandani unaamka umekojoa kweli, wakati huo huo unaota umeokota pesa unaamka empty, umeokota dhahabu unakuta hamna kitu au umeoa kimwana unaamka na shuka tu.
Wajuzi wa ndoto hebu nisaidieni hiki kitendawili.
Kumbe upo, mambo?Mm napenda niote nakojoa mkojo mkubwa
Sababu we ni kikojoziWakuu habarini tena,
Nataka kujua kwanini ukiaota umekojoa kitandani unaamka umekojoa kweli, wakati huo huo unaota umeokota pesa unaamka empty, umeokota dhahabu unakuta hamna kitu au umeoa kimwana unaamka na shuka tu.
Wajuzi wa ndoto hebu nisaidieni hiki kitendawili.
Nipo,unataka nkukojolee kidogo?!Kumbe upo, mambo?