Kwanini ukiota umekojoa kitandani unaamka umekojoa kweli?

Kwa umri wako kama una uwezo wa kuwa hapa kama member mwenzetu na bado unakojoa kitandani nenda kamuone mtaalamu wa afya ya ubongo.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Pana binti aliota anajifungua alipoamka nzi walikuwa wana randa randa eneo la kitandani
 
Kama una tabia hiyo, omba usiote ukiwa ugenini
 
Wakuu habarini tena,

Nataka kujua kwanini ukiaota umekojoa kitandani unaamka umekojoa kweli, wakati huo huo unaota umeokota pesa unaamka empty, umeokota dhahabu unakuta hamna kitu au umeoa kimwana unaamka na shuka tu.

Wajuzi wa ndoto hebu nisaidieni hiki kitendawili.
Lakini ukiota umekota pesa ukiamka åhuzioni hizo pesa. Hapo ndipo huwaga najiuliza kila siku.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
Wakuu habarini tena,

Nataka kujua kwanini ukiaota umekojoa kitandani unaamka umekojoa kweli, wakati huo huo unaota umeokota pesa unaamka empty, umeokota dhahabu unakuta hamna kitu au umeoa kimwana unaamka na shuka tu.

Wajuzi wa ndoto hebu nisaidieni hiki kitendawili.
Lakini pia uzuri ni kwamba ukiota unamkaza mtu lazima ujio wa wazungu ukuamshe
 
Wakuu habarini tena,

Nataka kujua kwanini ukiaota umekojoa kitandani unaamka umekojoa kweli, wakati huo huo unaota umeokota pesa unaamka empty, umeokota dhahabu unakuta hamna kitu au umeoa kimwana unaamka na shuka tu.

Wajuzi wa ndoto hebu nisaidieni hiki kitendawili.
Tena usiombe ukaota unajisaidia kwenye choo Cha kukaa wakati kwenu kuna choo Cha shimo[emoji1] [emoji1]
 
Wakuu habarini tena,

Nataka kujua kwanini ukiaota umekojoa kitandani unaamka umekojoa kweli, wakati huo huo unaota umeokota pesa unaamka empty, umeokota dhahabu unakuta hamna kitu au umeoa kimwana unaamka na shuka tu.

Wajuzi wa ndoto hebu nisaidieni hiki kitendawili.
Kwahiyo ukiota umegegedwa mkuu asubhi vip unajikuta umeloa
 
Back
Top Bottom