Uwe na adabu kidogo.Nipo,unataka nkukojolee kidogo?!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]Kwa umri wako kama una uwezo wa kuwa hapa kama member mwenzetu na bado unakojoa kitandani nenda kamuone mtaalamu wa afya ya ubongo.
Uwe na adabu kidogo.
Lakini ukiota umekota pesa ukiamka åhuzioni hizo pesa. Hapo ndipo huwaga najiuliza kila siku.Wakuu habarini tena,
Nataka kujua kwanini ukiaota umekojoa kitandani unaamka umekojoa kweli, wakati huo huo unaota umeokota pesa unaamka empty, umeokota dhahabu unakuta hamna kitu au umeoa kimwana unaamka na shuka tu.
Wajuzi wa ndoto hebu nisaidieni hiki kitendawili.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
Lakini pia uzuri ni kwamba ukiota unamkaza mtu lazima ujio wa wazungu ukuamsheWakuu habarini tena,
Nataka kujua kwanini ukiaota umekojoa kitandani unaamka umekojoa kweli, wakati huo huo unaota umeokota pesa unaamka empty, umeokota dhahabu unakuta hamna kitu au umeoa kimwana unaamka na shuka tu.
Wajuzi wa ndoto hebu nisaidieni hiki kitendawili.
HeheheKwa umri wako kama una uwezo wa kuwa hapa kama member mwenzetu na bado unakojoa kitandani nenda kamuone mtaalamu wa afya ya ubongo.
Tena usiombe ukaota unajisaidia kwenye choo Cha kukaa wakati kwenu kuna choo Cha shimo[emoji1] [emoji1]Wakuu habarini tena,
Nataka kujua kwanini ukiaota umekojoa kitandani unaamka umekojoa kweli, wakati huo huo unaota umeokota pesa unaamka empty, umeokota dhahabu unakuta hamna kitu au umeoa kimwana unaamka na shuka tu.
Wajuzi wa ndoto hebu nisaidieni hiki kitendawili.
[emoji1] [emoji1]Sasa mkojo si upo ndani ya uwezo wako mjomba? Ndio maana ukiota na wenyewe una kutunuku
Kwahiyo ukiota umegegedwa mkuu asubhi vip unajikuta umeloaWakuu habarini tena,