GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
1. Jina la Baba Mungu hutajwa mno?
2. Sura (Nyuso) za Huruma hutawala mno?
3. Waliochwa Majumbani hukumbukwa mno?
4. Kuombana Magazeti kunapungua mno?
5. Maombi ya Kuomba Kukojoa (Kuchimba Dawa) hupungua mno?
6. Abiria wengi hujifanya wamelala (tena kwa Kufumba Macho) ila Breki ya Basi ikifungwa ghafla wakishtuka Vituo vyote vya nyuma huvikumbuka na kukutajia?
7. Basi likifika mwisho wa Kituo Abiria humpongeza Dereva huku wakiwa na Nyuso za Sununu ( Kununa ) na wanasonya mno?