Kwanini ukisomea saikolojia chuo unang'oa mademu wakali sana?

Wakuu,

Mimi nina jamaa yangu tulikuwa tunakaa naye Kimara mwaka 2006 kabla sijahama alienda zake Canada mwaka 2011 kusomea saikolojia akakaa huko miaka 5, na tangu arudi sasa ni miezi miwili.

Mpaka ninavyoandika hapa washkaji kitaa wanatamani hata kumpa pesa nyingi ili aondoke pale kwao Kimara mwisho kwa maana jamaa anang'oa mademu wote wakali bila hela wala nini (mpaka watoto wakali wa kichaga), na watu wakimuuliza anasema yeye ana maneno matamu na mbinu zake za kisaikolojia alizosomea huko darasani kwao chuo cha Canada.

Sasa nimebaki najiuliza inakuwa vipi watu waliosomea saikolojia wanakuwa watata kiasi hiki aisee, utasema jamaa ana kizizi.

Note: Ukiona demu wa kichagga anang'oleka kizembe kwa mameno matamu bila kumwaga mpunga wa kutosha, kaa mbali na huyu jamaa!
Aisee wa tanzania mliowengi mnawaza upumbfu saa zote sijui kwanni Changanahamisha ubongo upate mpunga[emoji57] [emoji57] [emoji57] acha upuuzi wanawake wapo demu mkali ndo ujinga gani
 
Wakuu,

Mimi nina jamaa yangu tulikuwa tunakaa naye Kimara mwaka 2006 kabla sijahama alienda zake Canada mwaka 2011 kusomea saikolojia akakaa huko miaka 5, na tangu arudi sasa ni miezi miwili.

Mpaka ninavyoandika hapa washkaji kitaa wanatamani hata kumpa pesa nyingi ili aondoke pale kwao Kimara mwisho kwa maana jamaa anang'oa mademu wote wakali bila hela wala nini (mpaka watoto wakali wa kichaga), na watu wakimuuliza anasema yeye ana maneno matamu na mbinu zake za kisaikolojia alizosomea huko darasani kwao chuo cha Canada.

Sasa nimebaki najiuliza inakuwa vipi watu waliosomea saikolojia wanakuwa watata kiasi hiki aisee, utasema jamaa ana kizizi.

Note: Ukiona demu wa kichagga anang'oleka kizembe kwa mameno matamu bila kumwaga mpunga wa kutosha, kaa mbali na huyu jamaa!
Hii ndo nchi ya viwanda
 
Back
Top Bottom