Mmmh! Mkuu me napita tuu! Huu mwaka umeanza vibaya kwa watu..Nyuzi zingine za FOREX zimezuiliwa baada ya muhusika kuja ONLINE Mda huu
Haaa haaaaa...unajua kujilipua aseeDaaah naogopa bani nyingine maana nna bani kisa mshkaji @bb swalehe
haha Nimepotezaje tena dira aloo futa kauli yako.Kama Wewe ulivyopoteza dira
Napita Kwa kunata
Yasipokukuta leo basi keshoHii mada kwangu ni sawa na pilipili ya shamba hainiwashi kiivyo ninamaanisha hayajawahi nikuta hayo. Ngoja nijifungie geto na Nuru wangu nitarejea baadaye.....