Deadbody
JF-Expert Member
- May 30, 2015
- 4,274
- 6,595
JF wanatulazimisha tuweke nyuzi zinazopendwa na Mods tu
Wakuu tujaribu kutaja vitu vinavyoweza kufanya uzi ukafutwa
Tiririka
- Wasipojirekebisha watapoteza watu wengi sana.
- Wanatulazimisha tujadili mapenzi na na umbeya ila ukiweka kitu ukagusa maslahi ya mtu fulahi kwa nia nzuri kabisa wanafuta!
- Ukiweka link uzi wako unafutwa
- Ukitukana uzi wako unafutwa
Wakuu tujaribu kutaja vitu vinavyoweza kufanya uzi ukafutwa
Tiririka