Kwanini ukiweka Line ya halotel Option ya tethering inatoweka?? Yaan huwezi kushare data kwa wireless

Hivi karibuni nimehisi iphone update yao ya ios imeondoa hiyo feature jaribu kuupdate kama unahisi hiyo ni bug
 
Back
Top Bottom