Kwanini uliamua kujiunga JF?

Kwanini uliamua kujiunga JF?

Mm jamii nilikuja kutafuta mademu lakini mpaka sasa sijapata.
 
Mtu mwenye akili timamu hufanya mambo kwa nia yaani dhamira na lengo fulani.

Huu ni uzi ambao unaweza kubadilisha dhamira zetu za awali au sababu zilizotufanya tuingie jf. Kila mtu ana sababu zake kwazo zilimpelekea ajiunge na mtandao huu.

Swali,je ni sababi zipi zilikufanya ujiunge na jf,je ni mkumbo,kutafuta umaarufu,kuwachunguza watu,kujifunza,kufanya utafiti au ?
Taja zako kwanza ndo nasi tutakujibu.
 
1. Kupata Habari na zilizo na ubora.
2. Kutafuta mrembo wa maisha ila bahati nzuri, niliona wote ni mambo safi wenye magari tu.
Hapo nikabadili gia angani.
 
Mmoja wapo uliyevurugika n wew.....haya majibu yananifurahisha sana.....
Huku watu n rahs MTU kumwambia mwenzake et "Huna akili" utafkr unamlea MTU huyo
Sema mm sina akili ... Hafu ww dgo ntakupasua ... Ulza wenzako ...hivi ulnilipa buku ya kujiunga. . Kwel wewe
 
Back
Top Bottom