Una vibali kutoka Costech?Nafanya utafiti bro !
Sina,nafanya utafiti kwa faida zangu binafsi. Kwani sheria sinasemaje juu ya hiki ninachokifanya ?Una vibali kutoka Costech?
Kama hujapata badili malengo mzee.Mm jamii nilikuja kutafuta mademu lakini mpaka sasa sijapata.
Taja zako kwanza ndo nasi tutakujibu.Mtu mwenye akili timamu hufanya mambo kwa nia yaani dhamira na lengo fulani.
Huu ni uzi ambao unaweza kubadilisha dhamira zetu za awali au sababu zilizotufanya tuingie jf. Kila mtu ana sababu zake kwazo zilimpelekea ajiunge na mtandao huu.
Swali,je ni sababi zipi zilikufanya ujiunge na jf,je ni mkumbo,kutafuta umaarufu,kuwachunguza watu,kujifunza,kufanya utafiti au ?
Nafanya utafiti.Taja zako kwanza ndo nasi tutakujibu.
Sema mm sina akili ... Hafu ww dgo ntakupasua ... Ulza wenzako ...hivi ulnilipa buku ya kujiunga. . Kwel weweMmoja wapo uliyevurugika n wew.....haya majibu yananifurahisha sana.....
Huku watu n rahs MTU kumwambia mwenzake et "Huna akili" utafkr unamlea MTU huyo
Mkuu joking mm mashara sanaMmoja wapo uliyevurugika n wew.....haya majibu yananifurahisha sana.....
Huku watu n rahs MTU kumwambia mwenzake et "Huna akili" utafkr unamlea MTU huyo