Kwanini ulijiunga JF?

Kwanini ulijiunga JF?

Jibu lipo juu ya wasomaji kupima hoja zangu dhidi ya hoja zao, mimi binafsi siwezi kusema kwamba nilifanikiwa katika hilo ila nilijaribu kadiri Mungu alivyoniwezesha.
Ubarikiwe, kazi yako itakumbukwa
 
Jibu lipo juu ya wasomaji kupima hoja zangu dhidi ya hoja zao, mimi binafsi siwezi kusema kwamba nilifanikiwa katika hilo ila nilijaribu kadiri Mungu alivyoniwezesha.
mkuu kaza budi ile miatheist inaroho ya paka, mibishi balaa na inavihoja shawishi sana.
Mungu awapunguzege hukohuko kimyakimya wakishindwa kudhibitiwa kwa hoja humu
 
Mimi nilijiunga baada ya Maxmelo C.O.E wa jamii forum kupekekwa mahakamani
Nikajiuliza yaani jamii forum inanini mpaka jamaa wamepeleke mahakamani nakutaka kuifunga nikasema ngoja niingie na mimi jamii forum labda kuna madini nikiangia nikakuta nyuzi kali za Mshana Jr,Ontario ndio nikaanza kufatilia hapo hapo hadi leo nimeganda kila siku lazima niingie jamii forum
 
safi sana.
najua hata mafolex huchezi nayo mbali.
Kumbe kumkamata kulimuongezea fursa? mimi nilijua wengi walikimbia
 
Mimi ilikuwa nikiingia Google kusearch taarifa tofauti, nakutana na website ya jamii forum naingia naangalia kidogo baadaye nasepa zangu
Katabia kaka endelea nikawa nasoma kama guest sasa baada e nikakolea nikawa nahitaji niweze kutoa na mimi mchango au maoni,
Lakini naambiwa mpaka ujiregester au login kwa hiyo nikawa sina option kuchangia nataka
Sasa nafanyaje ikabidi nijisajili nikawa memba

Eeeh ivo yaani [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]
255756654175_status_d8890587eab746a9a8952fbb182b8a81.jpeg
 
Mimi ilikuwa nikiingia Google kusearch taarifa tofauti, nakutana na website ya jamii forum naingia naangalia kidogo baadaye nasepa zangu
Katabia kaka endelea nikawa nasoma kama guest sasa baada e nikakolea nikawa nahitaji niweze kutoa na mimi mchango au maoni,
Lakini naambiwa mpaka ujiregester au login kwa hiyo nikawa sina option kuchangia nataka
Sasa nafanyaje ikabidi nijisajili nikawa memba

Eeeh ivo yaani [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]View attachment 1166653
Walimu hamuwatendei haki;
 
Nilikuja humu kuomba kazi ya ulinzi,niliporuhusiwa nikaanzisha uzi wa J.f usiku wa manane...nashukuru life linaenda na ulinzi wa jukwaa unaimarika kila siku.
 
mimi
Mara ya Kwanza , Kutafuta kazi.
Mara ya Pili Kujua mambo ya kitaifa na baada ya kugundua siri ya dogo mmoja anayejua kila kitu anatolea madini yake jf.
Mara ya Tatu kutafuta biashara
Sasa Kuburudika

Siku zingine kabla hamjaanzisha Threads hapa muwe mnajiridhisha kama hazijawahi Kuanzishwa. Kuna Threads kama Mbili hivi zenye Maudhui haya yako zitafute ili uweze Kuona Members walijibu vipi na nini.
 
Back
Top Bottom