Ubarikiwe, kazi yako itakumbukwaJibu lipo juu ya wasomaji kupima hoja zangu dhidi ya hoja zao, mimi binafsi siwezi kusema kwamba nilifanikiwa katika hilo ila nilijaribu kadiri Mungu alivyoniwezesha.
mkuu kaza budi ile miatheist inaroho ya paka, mibishi balaa na inavihoja shawishi sana.Jibu lipo juu ya wasomaji kupima hoja zangu dhidi ya hoja zao, mimi binafsi siwezi kusema kwamba nilifanikiwa katika hilo ila nilijaribu kadiri Mungu alivyoniwezesha.
safi sana.Mimi nilijiunga baada ya Maxmelo C.O.E wa jamii forum kupekekwa mahakamani
Nikajiuliza yaani jamii forum inanini mpaka jamaa wamepeleke mahakamani nakutaka kuifunga nikasema ngoja niingie na mimi jamii forum labda kuna madini nikiangia nikakuta nyuzi kali za Mshana Jr,Ontario ndio nikaanza kufatilia hapo hapo hadi leo nimeganda kila siku lazima niingie jamii forum
Ooh [emoji28]Nilikuja kutafuta mchumba
Yule ni demu siyo mwanaumekale kajamaa kanaupdate za kimbea balaa.
kila stori ya mujini anayokiganjani.
Warumi ''wakola waitu''
ulimpataga binamu?Nilikuja kutafuta mchumba
kuna kipindi alidukulika ni punga.Yule ni demu siyo mwanaume
Ndioulimpataga binamu?
hahaha nipatie na chapati mbili mate nishushie na chai yako.Nilikuja kutafuta mchumba
Walimu hamuwatendei haki;Mimi ilikuwa nikiingia Google kusearch taarifa tofauti, nakutana na website ya jamii forum naingia naangalia kidogo baadaye nasepa zangu
Katabia kaka endelea nikawa nasoma kama guest sasa baada e nikakolea nikawa nahitaji niweze kutoa na mimi mchango au maoni,
Lakini naambiwa mpaka ujiregester au login kwa hiyo nikawa sina option kuchangia nataka
Sasa nafanyaje ikabidi nijisajili nikawa memba
Eeeh ivo yaani [emoji4][emoji4][emoji4][emoji4]View attachment 1166653
[emoji3][emoji3][emoji3] chapati umepata sema kinginehahaha nipatie na chapati mbili mate nishushie na chai yako.
mimi
Mara ya Kwanza , Kutafuta kazi.
Mara ya Pili Kujua mambo ya kitaifa na baada ya kugundua siri ya dogo mmoja anayejua kila kitu anatolea madini yake jf.
Mara ya Tatu kutafuta biashara
Sasa Kuburudika
Kwa nini unadhani natania
Kwani wanaotafuta wachumba wana haiba gani?Sioni kama una haiba hiyo kabisa.