Kwanini ulinipa penzi kama hili na sasa silipati tena? Najuta

Kwanini ulinipa penzi kama hili na sasa silipati tena? Najuta

Doo Una balaa wewe...

Niliwahi kupiga shoo la kibabe Hadi akili ikahama Ile nimetoka nje na wenge nikaona mbwa mweusi Kwa mbali ananitazama nikauzika nikampigia jiwe...
Nikasikiaa meeeeeh! Kumbe ni mbuzi wa Bibi asalalee!!!
Ilikua soo
Aiseee
 
Back
Top Bottom