Kwanini Umeficha Jina Lako Halisi??

Kwanini Umeficha Jina Lako Halisi??

Me langu original Mustapha by the way wengi wanficha c unajua wengine usalama wa taifa
 
Ili kutoa mawazo bila kuhofia baba mkwe wala wazazi waliomo humu na pia nawakwepa mashushushu [emoji6]
 
Sababu ni A.k.a yangu
Kamavile wanavyotumia wasanii wa bongo muvie na mziki
 
Back
Top Bottom