Kwanini umenifanyia hivi Ritha?

Hauwezi kutumia material things kumuonesha mtu nia yako..unatakiwa u express nia yako kwa maneno sio kwa vitu mkuu hapo ndo ulipofeli
Halafu material thing zenyewe ni TV , SABWOOFER, N.K...hizo ni basics need za kawaida ... bro ...kwani hutoagi sadaka mkuu ...furahi kama hajakuachia maradhi bass ...hayo mengine yote yana tafutwa
 
🀣🀣🀣🀣 Eeeh kaka sio wote,na yeye nilidhania kwa Nia atakuwa wanngu wa kufa na kuzikana kkumbe mwizi
Eti kufa na kuzikana ...yani tv na sabwoofer..ndo itufanye tuwe wa kufa na kuzikana eb kuwa serious kidgo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Halafu material thing zenyewe ni TV , SABWOOFER, N.K...hizo ni basics need za kawaida ... bro ...kwani hutoagi sadaka mkuu ...furahi kama hajakuachia maradhi bass ...hayo mengine yote yana tafutwa
Kaka niombe msamah,Yani mwanaume niwe nalilia sabwofer? Nilipita kitambo Sana kutumia Yale madude(yangu 2004)
Sawa mkuu inamaana nisameh?
 
Eti kufa na kuzikana ...yani tv na sabwoofer..ndo itufanye tuwe wa kufa na kuzikana eb kuwa serious kidgo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
MUNGU mkuu yupo akupe maisha marefu Sana😊😊😊 utapata tukio lako.
 
Kwenye vikao vyetu tulisha kubaliana kuwa madem wenye majina ya Ritha tukae nao mbali ... kama mimi ni mwongo basi mulizeni hata yule msanii Marlow......nasema uwongo nduguzangu (inJPMvoice)
 
MUNGU mkuu yupo akupe maisha marefu Sana😊😊😊 utapata tukio lako.
Marangapi tena mkuu ...nlisha pigwa na kitu kizoto hapa ...hii nj baada ya pombe kwisha kichwani
πŸ‘‡πŸ‘‡
 
Attachments

  • Screenshot_20220716-141850_Twitter.jpg
    32.9 KB · Views: 6
Kwenye vikao vyetu tulisha kubaliana kuwa madem wenye majina ya Ritha tukae nao mbali ... kama mimi ni mwongo basi mulizeni hata yule msanii Marlow......nasema uwongo nduguzangu (inJPMvoice)
🀣🀣🀣🀣 MUNGU wetu ni mwema,acha niingie kanisani nikamsee kwa MUNGU
 
Attachments

  • Screenshot_20220722-180513_Instagram.jpg
    64 KB · Views: 9
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…