maji ya gundu
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,070
- 4,698
Umemuhonga demu hela na vyombo vya ndani 😂😂
AHahahahaha fala mwenyewe nisije nikasahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
AHahahahaha fala mwenyewe nisije nikasahau
Sikuonga nilikuwa na Marengo nae yakumuoa kabisaa,ndio mana mpaka ndugu Zake wananifahamu
Kwamba alilima kwenye shamba la mtu? Au alijaza abiria kwenye gari ambalo sio Lake?Kekundu
Baada yakupata maumivu yakutosha kutoka kwa mzazi mwenzangu niliyezaa nae (maumivu yasiyosameeka), nikajipa muda wa mwaka na ushee nikakutana na huyu binti mrembo cheupe jirani yangu. Mwanaume nikasimamia Kila kitu kuhusu yeye nikamshauri aache kazi ya elfu 4 kwa siku abuni biashara nitampush mtaji.
Nimepush mtaji na Kila nilichokuwa nacho kwangu nikamnunulia na yeye pia, tv, home theater na vitu vyote vya kijanja nikatia chumbani kwake.
Nimepata safari ya kwenda Katoro, na yeye akapata safari ya kuhama bira taarifa. Huwa nikisafiri namuachia funguo namuamini, kumbe ana mawazo yake yakunikomesha bila Sababu.
Narudi sebule inanizomea chumbani pesa hakuna laki 460 nampigia anasema ameenda kufanya maisha yake na kubuni biashara itakayo mlipa zaidi(Yani utafikili Ile ya mwanzo mie ndio nilimshauli)
Honey mama Malaika mbona umenipa adhabu kubwa hivi?
Nilikukosea Nini? Basi c Bora ungechukua pesa tu ukaniachia vitu vyangu? Au makosa ya mzazi mwenzio umeyaamishia kwangu?
Na siku nasafiri nikakuachia laki 4 hivi uoni Nia yangu ya ukweli juu yako? Nilikukosea Nini we mdada?
Najitaidi nilie Ila machozi huwa hayanitoki umenifundisha kisasi nitakulipa tu.
Natamani kumuachia MUNGU Ila ndugu na marafiki zako wanajiuliza hii tabia yakuumiza wanaume wako utaacha lini? Jibu limepatikana utaacha awamu hii...mama maraika sikuachi...
Kuna mteja alipatwa na janga kama wewe akawa kakimbia Bank kufunga account zake maana yeye alifika mbali kumpa hadi cards za bankHapana uwezi mzania kwa kweli.nilitumia mbinu zote za ki CIA
Shetani kekundu. ...kekundu kekunduKekundu
Sasa kwanini ulimfanyia hayo yote ili akupende?Acha us'nge mie baba yako mdogo.nimezaliwa na kukulia,dar,mwanza,Arusha,Dom we mtoto Bado unautoto tuliza kidari
Man Down!Baada yakupata maumivu yakutosha kutoka kwa mzazi mwenzangu niliyezaa nae (maumivu yasiyosameeka), nikajipa muda wa mwaka na ushee nikakutana na huyu binti mrembo cheupe jirani yangu. Mwanaume nikasimamia Kila kitu kuhusu yeye nikamshauri aache kazi ya elfu 4 kwa siku abuni biashara nitampush mtaji.
Nimepush mtaji na Kila nilichokuwa nacho kwangu nikamnunulia na yeye pia, tv, home theater na vitu vyote vya kijanja nikatia chumbani kwake.
Nimepata safari ya kwenda Katoro, na yeye akapata safari ya kuhama bira taarifa. Huwa nikisafiri namuachia funguo namuamini, kumbe ana mawazo yake yakunikomesha bila Sababu.
Narudi sebule inanizomea chumbani pesa hakuna laki 460 nampigia anasema ameenda kufanya maisha yake na kubuni biashara itakayo mlipa zaidi(Yani utafikili Ile ya mwanzo mie ndio nilimshauli)
Honey mama Malaika mbona umenipa adhabu kubwa hivi?
Nilikukosea Nini? Basi c Bora ungechukua pesa tu ukaniachia vitu vyangu? Au makosa ya mzazi mwenzio umeyaamishia kwangu?
Na siku nasafiri nikakuachia laki 4 hivi uoni Nia yangu ya ukweli juu yako? Nilikukosea Nini we mdada?
Najitaidi nilie Ila machozi huwa hayanitoki umenifundisha kisasi nitakulipa tu.
Natamani kumuachia MUNGU Ila ndugu na marafiki zako wanajiuliza hii tabia yakuumiza wanaume wako utaacha lini? Jibu limepatikana utaacha awamu hii...mama maraika sikuachi...
Lord!!Honey mama Malaika
Ukimkamata fanya kama alichofanyiwa LucyBaada yakupata maumivu yakutosha kutoka kwa mzazi mwenzangu niliyezaa nae (maumivu yasiyosameeka), nikajipa muda wa mwaka na ushee nikakutana na huyu binti mrembo cheupe jirani yangu. Mwanaume nikasimamia Kila kitu kuhusu yeye nikamshauri aache kazi ya elfu 4 kwa siku abuni biashara nitampush mtaji.
Nimepush mtaji na Kila nilichokuwa nacho kwangu nikamnunulia na yeye pia, tv, home theater na vitu vyote vya kijanja nikatia chumbani kwake.
Nimepata safari ya kwenda Katoro, na yeye akapata safari ya kuhama bira taarifa. Huwa nikisafiri namuachia funguo namuamini, kumbe ana mawazo yake yakunikomesha bila Sababu.
Narudi sebule inanizomea chumbani pesa hakuna laki 460 nampigia anasema ameenda kufanya maisha yake na kubuni biashara itakayo mlipa zaidi(Yani utafikili Ile ya mwanzo mie ndio nilimshauli)
Honey mama Malaika mbona umenipa adhabu kubwa hivi?
Nilikukosea Nini? Basi c Bora ungechukua pesa tu ukaniachia vitu vyangu? Au makosa ya mzazi mwenzio umeyaamishia kwangu?
Na siku nasafiri nikakuachia laki 4 hivi uoni Nia yangu ya ukweli juu yako? Nilikukosea Nini we mdada?
Najitaidi nilie Ila machozi huwa hayanitoki umenifundisha kisasi nitakulipa tu.
Natamani kumuachia MUNGU Ila ndugu na marafiki zako wanajiuliza hii tabia yakuumiza wanaume wako utaacha lini? Jibu limepatikana utaacha awamu hii...mama maraika sikuachi...
Siku unayo kutana nae badala ya kumpiga utamuonea huruma na utatamani kumsaidia cos atakua amechoka na kachakaa sanaBaada yakupata maumivu yakutosha kutoka kwa mzazi mwenzangu niliyezaa nae (maumivu yasiyosameeka), nikajipa muda wa mwaka na ushee nikakutana na huyu binti mrembo cheupe jirani yangu. Mwanaume nikasimamia Kila kitu kuhusu yeye nikamshauri aache kazi ya elfu 4 kwa siku abuni biashara nitampush mtaji.
Nimepush mtaji na Kila nilichokuwa nacho kwangu nikamnunulia na yeye pia, tv, home theater na vitu vyote vya kijanja nikatia chumbani kwake.
Nimepata safari ya kwenda Katoro, na yeye akapata safari ya kuhama bira taarifa. Huwa nikisafiri namuachia funguo namuamini, kumbe ana mawazo yake yakunikomesha bila Sababu.
Narudi sebule inanizomea chumbani pesa hakuna laki 460 nampigia anasema ameenda kufanya maisha yake na kubuni biashara itakayo mlipa zaidi(Yani utafikili Ile ya mwanzo mie ndio nilimshauli)
Honey mama Malaika mbona umenipa adhabu kubwa hivi?
Nilikukosea Nini? Basi c Bora ungechukua pesa tu ukaniachia vitu vyangu? Au makosa ya mzazi mwenzio umeyaamishia kwangu?
Na siku nasafiri nikakuachia laki 4 hivi uoni Nia yangu ya ukweli juu yako? Nilikukosea Nini we mdada?
Najitaidi nilie Ila machozi huwa hayanitoki umenifundisha kisasi nitakulipa tu.
Natamani kumuachia MUNGU Ila ndugu na marafiki zako wanajiuliza hii tabia yakuumiza wanaume wako utaacha lini? Jibu limepatikana utaacha awamu hii...mama maraika sikuachi...
Sitaki kushangaaKuongea ni tofauti na kujali.mie ni mtu ninaejali
Hata wewe tu naweza kukujali na ukashangaa